Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepokea boti ya mwendokasi itakayotumiwa na kikosi cha polisi wanamaji kwaajili ya Doria katika ziwa victoria hatua inayolenga kupambana na vitendo vya kihalifu pamoja na kudhibiti uvuvi haramu.
Boti hiyo iliyogharimu zaidi ya shilingi milioni mia nne itasaidia katika shughuli za polisi wanamaji ikiwemo doria ndani ya ziwa victoria ili kupambana na vitendo vya unyang'anyi wa kutumia silaha unaofanyika ziwani, vitendo vya uvuvi haramu pamoja na kutoa elimu katika maeneo mbalimbali yanayozunguka ziwa victoria.