Dah.. hawa jamaa wanataka kukinukisha tena!!Na waziri mkuu wa Sudan leo amenusuruka kifo baada ya msafara wake kushambuliwa akiwa anaelekea ofisini asubuhi...haya madaraka Waafrika yanatufikisha pabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yy alikuwemo ktk hicho kikao kilicho fanyika Lumumba???Mshukiwa wa kwanza ni membe
Mkuu wewe una uhakika hao polisi kablay ya kutoa hiyo taarifa hawakuhusika madaktari?Kwa hiyo polisi wamekuwa madaktati? Ni CCM so whatever happens. Tutagurahi9...good riddance
Kwa nini uwe 'negative' hivyo? Imesemwa kabisa alilazwa ICU Muhimbili ukafanywa uchunguzi akaonekana na sumu. Vipi unakimbilia kusema polisi wamekuwa madaktari?Kwa hiyo polisi wamekuwa madaktati? Ni CCM so whatever happens. Tutagurahi9...good riddance
Acha upuuz police wanapokea ripoti ya daktari, kwani unavockia mtu kabakwa kwa kuwa ripoti ya daktari inathibitisha, ukisikia mtu kagongwa na ktu kzito ni daktari ndiye anayetoa report na kukabidh police.Kwa hiyo polisi wamekuwa madaktati? Ni CCM so whatever happens. Tutagurahi9...good riddance
Usalama wa Raia, yaani Police ndiyo wenye mamlaka na ndiyo kawaida wanatakiwa watoe taarifa kwa umma.Sio kila kitu polisi waseme. Hilo suala la kidaktari ilishindikana nini daktari akaongelea hilo tena huwenda angekuja na maelezo ya kitaalamu zaidi.
"Polisi wameelezea namna mkazi wa Buza alivyoshinda Jackpot"
Ukiona wametangaza hadharani hivyo, ujue ameshapona, yuko safi sasa hivi. Ingekuwa kwa bahati mbaya labda angekuwa amepoteza maisha, taarifa za kuwekewa sumu zisingetangazwa, ingebaki siri ya madaktari na sytem ya Nchi.