Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Wewe na huyo Mzee wako wote ni MAZWAZWA tu. Hivi Kolimba alipewa sumu na nani? Mangula kapewa sumu na nani? Na Waziri wa habari ni nani aliyempa sumu? Tia akili kichwani wewe!
Unaumwa wewe ni sawa na Lissu. Nimekueleza kuwa Mzee Mangula nilimwonesha comment yako akacheka akasema wadharau hao
 
Hahaha Mangula wa Zamani ccm mpya hawawezi kumuacha salama.
Kastaafu bila kuaga, bila kupenda.
 
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ikishirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na Taasisi mbalimbali imebaini kwamba ndani ya mwili wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Mangula kulipatikana na sumu,uchunguzi kuhusu tuhuma ya sumu hiyo ilivyoingia mwilini upelelezi bado unaendelea.

Unaumwa wewe ni sawa na Lissu. Nimekueleza kuwa Mzee Mangula nilimwonesha comment yako akacheka akasema wadharau hao
 
Wewe na huyo Mzee wako wote ni MAZWAZWA tu. Hivi Kolimba alipewa sumu na nani? Mangula kapewa sumu na nani? Na Waziri wa habari Mwakyembe ni nani aliyempa sumu? Tia akili kichwani wewe!

Hata Magufuli Jiwe aliwahi kupewa SUMU akaponea Ujerumani.....!!!
Mzee wa Msoga aliwahi kusema CCM. WANAOGOPANA WAO KWA WAO KIASI KWAMBA MTU AKIENDA CHOONI ANAKWENDA NA GLASI YAKE YA POMBE.....Shame on them CCM YA MAJAMBAZI!
 
Jibu liko wazi sn yani....

Aliyeamuru Tundu Lissu apigwe risasi ndo huyo huyo aliyeamuru Mangula alishwe sumu.....

Haki huinua taifa....

You're correct by 100% +1!!
Jiwe ni Janjaweed la kutupwa!!
 
Kabisa Mkuu alidhani atafanya udhalimu wake na Watanzania tunyamaze tu.

Itamcost sn yani...... Kadhurumu haki ya kuishi ya watu wengi sn akimtumia makonda
 
Kilichobakia ni kuzima mitandao aisee, maana jitihada zote za kuzima upinzani zimeshindikana[emoji23][emoji23]
 
Hivi waliomlisha sumu mzee Mangula walikamatwa? Nakumbuka mambosasa alizungumzia jambo hili as if walikuwa wanamjua muhusika
 
Hivi waliomlisha sumu mzee Mangula walikamatwa? Nakumbuka mambosasa alizungumzia jambo hili as if walikuwa wanamjua muhusika
Uchunguzi ulizimwa kama kibatari cha mama lishe kwenye upepo mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…