Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Halafu Magula ati anapinga Katiba Mpya ya kuzuia watu waliotaka kumuua wasiweze tena kupita chujio la chama na serikali.
 
Hivi majibu ya nani aliyempa sumu Mangula bado Wakuu!?
Aliyekuwa hataki Membe apate nafasi kujitetea au kutetewa na mtu yeyote juu ya yeye kufukuzwa kwenye Chama
 
Mangula ameng'atuka kama Nyerere.
Mangula umri ungekuwa unaweza rewind 2025 angetufaa natungeuzika.
 
UCHUNGUZI ITAKUWA BADO UNAENDELEA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Get well Soon Mzee wetu. Mungu akutunze hiyo Simu ikageuke kuwa maziwa mwilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…