Polisi na Magari ya Polisi wajipanga kukabiliana na CORD kesho

Polisi na Magari ya Polisi wajipanga kukabiliana na CORD kesho

MK254 hehehe hapo siwezi sahau man... High school we went on strike 3 times - Kakamega high school two of which were during the night one time we had run away after police were called in to prevent property damage we went to Kakamega town nakumatt at midnight alafu wanakuja na landrover pick up and told like 70 of us to ensure we fit in hahahaha walitutandikia tao ma 4am mpaka sunday 8 hehehe miss em days.... Uni and high school protests are the best though!!
Hehehe, Minishi alipitia mengi.
 
MK254 hehehe hapo siwezi sahau man... High school we went on strike 3 times - Kakamega high school two of which were during the night one time we had run away after police were called in to prevent property damage we went to Kakamega town nakumatt at midnight alafu wanakuja na landrover pick up and told like 70 of us to ensure we fit in hahahaha walitutandikia tao ma 4am mpaka sunday 8 hehehe miss em days.... Uni and high school protests are the best though!!

Hehehe!! Pole, hapa Kenya kama hujatumia ujana wako kuhusika katika kuleta mabadiliko utakua na wakati mgumu wakati wa uzee wako.
Mimi ilinikuta siku moja nimejitokeza nikiwa kijana barobaro, kipindi cha akina Shikuku na Matiba wakati tunapambana kwa ajili ya mabadiliko. Tulipoanza mapambano na polisi halafu mabomu ya machozi yakatupwa na kulipuka, watu wakaanza kuondoka mbio. Sasa mimi kwa bahati mbaya wakati nakimbia nikajikwa na kuangukia seng'enge (barbed wire), ikanidunga mdomoni na kunibana (ilinitia kovu ambalo lipo hadi leo).

Wakati nahangaika kujiondoa, nikaona FFU wapo mbioni wananifikia, kilichoniokoa ni kwamba walikua pamoja na mkuu wao. Hivyo aliwazuia wasinipe kichapo, alinisaidia na kunikwamua kutoka hapo na kuniamrisha nitimke mbio, yaani nilitoweka kama risasi.
Yote tisa, nilihusika kwenye mabadiliko ya nchi, kama tungekua waoga waoga, leo hii tungelikua nyuma sana kwa kila kitu.

Tatizo maandamano ya siku hizi ni tofauti na ya kipindi kile, unakuta vijana wanapora na kupiga magari mawe.
 
Unachanganya mambo, WatanZania siyo waoga bali tunaheshimu Dola au Mamlaka iliyopo, kuna tofauti hapo, nchi nyingine Wananchi hawaheshimu Dola /Mamlaka waliyoiweka wao wenyewe na ndiyo maana hata Serikali iseme nini watu bado wataandamana tu, lkn TanZania Serikali ikikataza maandamano tunaheshimu kwa maana tunatambua kwamba Mamlaka iko kwa ajili yetu wote na huwo siyo woga bali ni heshima tu kwa yule tuliyemkabidhi Mamlaka!
Te te te! wee jamaa Barbarosa Kituko yaani PR kwenda mbele. Hivi ile kashfa ya binti wa Magu Jesca mumefaulu kupata pa kutokea? Naona mumekamatwa sana na Watanzania huku Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Itabidi mubuni mikakati hapo Lumumba
 
Kwa hiyo ulitakaje kwamba na sisi tuingie barabarani kama Wakenya na kuumizwa au kuuliwa na Askari kwa ajili ya Seif na Sheni?

Usisahau Seif alishasafirisha familia yake kwenda Omani kabla ya uchaguzi, records zipo!
Hahahaha. Nimependa jibu lako mkuu,
Anataka tupoteze muda wetu tuingie barabarani kisa tunataka seif awe rais.
Hawa hawa wanasiasa wanafiki wanipeleke kwa road.
Funy!!!!
Halafu Mimi huwa naamini kutumia njia mbadala ya kufanikisha haya badala ya kutumia nguvu na kupigana na police.
 
Nina jamaa yangu anaishi Kisumu, ameniambia huko kila mtu amekaa mkao wa kupambana, leo patachimbika kwenye huo mji.
 
Hehehe!! Sammuel999 hakikisha umejiandaa na exit strategy, nakumbuka kipindi nilikua nahusika kwenye maandamano, tulikua tunahakikisha tuna mpenyo wa kutokea. Unabeba maji kwa chupa ya plastiki, halafu mawe kadhaa mfukoni. Ngoma ikianza unajiandaa na pakutokea maana wale wapuzi wa FFU wakikushukia aisei utaimba kilugha, wale hawajafunzwa kukamata na hawabebi pingu, ngoma yao inaishia papo hapo.

Anyway good-luck guys, I support the right to hold demonstrations as enshrined in the constitution, though personally am against the current picketing as there are already other methods taking place to clean up IEBC. But we all have our right to our opinions.
Watanzania wamekomaaa kuuana hakuna tija mambo yote yataenda tu. Tatizo la kenya ni ukabaila tu. Kama si hilo basi mngekuwa new the first country to give grants
 
Back
Top Bottom