Polisi na Msajili wanashindana sasa kwenye kiki-uchawa kupitia Chadema. Imefika wakati viongozi wanaamka asubuhi na kufikiria wafanye nini kwa Chadema ili matukio yao yaongelewe kwenye vyombo vya habari.
Kiasi kwamba sasa hawa wakienda kumshika mtu ili waongeze chumvi Polisi wanawapiga ili tu wasikike na labda uchawa huo utawapa vyeo. Hii ni bila kujali sheria yeyote kufuatwa.
Msajili naye cha kushangaza amekuwa atafuta matukio. Msajili anaingilia vipi sekretarieti ya chama wakati kila chama kila sheria zao na rufaa zao za ndani! kama sheria na kanuni hazijafuatwa ndani ya chama kuna jinsi na utaratibu wa kulalamika na msajili huwezi tu uka kurupuka na kutangaza eti hutambui au unatambua sekretarieti.