amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,265
- 12,268
Hello Wadau!
Kama heading inavyojieleza. Usithubutu ukaruhusu gari ikaenda kituo cha polisi ikalala huko, wanachofanya ni kubadili vifaa na kuweka vya zamani wanaenda mbali zaidi kung'oa vioo na hata kubadili siti.
Mwisho wa siku gari ni kushinda gereji ukibadili vifaa leo hiki kesho hiki. Na bado kutoa uwape hela wakupe gari.
Hiki ninachopitia polisi nimewanyanyulia mikono, maana hampo kutunza mali za raia, mpo mpo tu.