Polisi na TFF msipo jipanga vizuri tutapata aibu AFCON 2019

Polisi wa Tanzania wameweza kutumika kwenye siasa tu , ulinzi na hasa kwenye usalama wa mashabiki na wizi wa simu na vipochi ndio wameshindwa kabisa , sisi wengine tunadhani vile vikundi vya uporaji vya uwanja wa Taifa na majirani ni vikundi vya polisi wenyewe .

Huu wizi una zaidi ya miaka 10 unafanywa bila polisi kuchukua hatua zozote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…