Polisi na TFF msipo jipanga vizuri tutapata aibu AFCON 2019

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Mara nyingi nimekuwa naingia uwanja wa Taifa kuangalia mashindano mbalimbali ya Mpira was miguu toka uwanja wa Uhuru.

Nimeonana Mara nyingi vitendo vya udanganyifu kwa wasimamizi na pia baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi.

Kama jana wakati naingia geti la VIP B mtumishi wa selcon na Polisi walikuwa wanagombania sh 2000 aliyotoa mshabiki wa jukwaa la mzunguko ili apate nafasi VIP B

Hiyo Ni aibu kubwa Sana na matokeo yake Kuna baadhi ya mashabiki wa VIP kukosa nafasi VIP B au C kwa mfano nilimuona Lucas Mwasulama na Seif Mdangaye wakihangaika kutafuta siti zao bila mafanikio.

Na baada ya mchezo kumalizika nilipita eneo la makutano ya barabara ya Mandela na ile ya Taifa karibu na lango la Kambi ya Jeshi Twalipo hapo ndipo mashabiki walikuwa wanaporwa simu,mabegi na pochi zao mubashara yaani live na vikundi vya vijana.

Sikuamini kabisa macho yangu kwa uporaji ule huku mabinti wengi wakiwa wanalia na kukimbia ovyo happy ilikuwa ni saa moja jioni mashabiki wanaendelea kutoka uwanjani.

Kina haja mahususi kwa Jeshi la Polisi na TFF kujipanga kiulinzi zaidi kwenye mashindano ya vijana chini ya miaka 17 AFCON 2019 ktk masuala ya tiketi na jinsi kuingia uwanjani na ulinzi nje baada ya mchezo kumalizika.

Kinyume na hapo wageni wasije wakapata shida ndani uwanjani na usalama nje ya uwanja.
 
Nikweli hongera kwa uzalendo, tena kwakuwa kuna vijana wa Twalipo hapo jirani, watusaidie ulinzi nje ya uwanja ili Sifa ya Tanzania kuwa nchi nzuri ya amani na utulivu iendelee ndani na nje ya Africa.
Mara nyingi nimekuwa naingia uwanja wa Taifa kuangalia mashindano mbalimbali ya Mpira was miguu toka uwanja wa Uhuru.

Nimeonana Mara nyingi vitendo vya udanganyifu kwa wasimamizi na pia baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi.

Kama jana wakati naingia geti la VIP B mtumishi wa selcon na Polisi walikuwa wanagombania sh 2000 aliyotoa mshabiki wa jukwaa la mzunguko ili apate nafasi VIP B

Hiyo Ni aibu kubwa Sana na matokeo yake Kuna baadhi ya mashabiki wa VIP kukosa nafasi VIP B au C kwa mfano nilimuona Lucas Mwasulama na Seif Mdangaye wakihangaika kutafuta siti zao bila mafanikio.

Na baada ya mchezo kumalizika nilipita eneo la makutano ya barabara ya Mandela na ile ya Taifa karibu na lango la Kambi ya Jeshi Twalipo hapo ndipo mashabiki walikuwa wanaporwa simu,mabegi na pochi zao mubashara yaani live na vikundi vya vijana.

Sikuamini kabisa macho yangu kwa uporaji ule huku mabinti wengi wakiwa wanalia na kukimbia ovyo happy ilikuwa ni saa moja jioni mashabiki wanaendelea kutoka uwanjani.

Kina haja mahususi kwa Jeshi la Polisi na TFF kujipanga kiulinzi zaidi kwenye mashindano ya vijana chini ya miaka 17 AFCON 2019 ktk masuala ya tiketi na jinsi kuingia uwanjani na ulinzi nje baada ya mchezo kumalizika.

Kinyume na hapo wageni wasije wakapata shida ndani uwanjani na usalama nje ya uwanja.
 
Unakuta lipolisi linavizia hizo elfu 2 getini alafu mechi ikianza wote wanaacha upolisi wanakuwa mashabiki mwanzo mwisho wako busy na mechi na baada ya dakika 90 na wao wanaondoka kama mashabiki wanaacha watu wanavamiwa na vibaka.

Hizo barabara zote za kutokea zinapaswa kuwa na doria 24/7 la sivyo mnaumbuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wazee wa ngeta kwenye mechi kama hizo kuanzia barabara ya keko bora hadi kwenye mataa ya chuo cha uhasibu wako na huwa wanasubiria mechi iishe tu waanze kazi zao na huwa kikundi cha watu wengi sidhani kama polisi hawajui hill jambo...!
 
Mkuu mbona nikawaida sana,mtu analipa 5000,anakaa eneo la 30000,hizo ndo dili za askari na anampa askari buku au buku 2 tu
Tubadili hiyo mitazamo kwa Askari wetu na watumishi wa selcon
 
Yani wazee wa ngeta kwenye mechi kama hizo kuanzia barabara ya keko bora hadi kwenye mataa ya chuo cha uhasibu wako na huwa wanasubiria mechi iishe tu waanze kazi zao na huwa kikundi cha watu wengi sidhani kama polisi hawajui hill jambo...!
Ni kweli si mtu mmoja na kikundi Cha vijana wengi tu.na hao vijana wanajuana na wengi wanatoka maeneo ya keko,mikoroshini na baadhi wa Tandika azimio na kilimahewa
 
Uwanja inachukua watu 60000 wao wanakata ticket 120000 hapo nani amshikie mwenzake TTF au hao vijana?police wanapewa za burashi walisharuhusiwa
 
Mara nyingi nimekuwa naingia uwanja wa Taifa kuangalia mashindano mbalimbali ya Mpira was miguu toka uwanja wa Uhuru.

Nimeonana Mara nyingi vitendo vya udanganyifu kwa wasimamizi na pia baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi.

Kama jana wakati naingia geti la VIP B mtumishi wa selcon na Polisi walikuwa wanagombania sh 2000 aliyotoa mshabiki wa jukwaa la mzunguko ili apate nafasi VIP B

Hiyo Ni aibu kubwa Sana na matokeo yake Kuna baadhi ya mashabiki wa VIP kukosa nafasi VIP B au C kwa mfano nilimuona Lucas Mwasulama na Seif Mdangaye wakihangaika kutafuta siti zao bila mafanikio.

Na baada ya mchezo kumalizika nilipita eneo la makutano ya barabara ya Mandela na ile ya Taifa karibu na lango la Kambi ya Jeshi Twalipo hapo ndipo mashabiki walikuwa wanaporwa simu,mabegi na pochi zao mubashara yaani live na vikundi vya vijana.

Sikuamini kabisa macho yangu kwa uporaji ule huku mabinti wengi wakiwa wanalia na kukimbia ovyo happy ilikuwa ni saa moja jioni mashabiki wanaendelea kutoka uwanjani.

Kina haja mahususi kwa Jeshi la Polisi na TFF kujipanga kiulinzi zaidi kwenye mashindano ya vijana chini ya miaka 17 AFCON 2019 ktk masuala ya tiketi na jinsi kuingia uwanjani na ulinzi nje baada ya mchezo kumalizika.

Kinyume na hapo wageni wasije wakapata shida ndani uwanjani na usalama nje ya uwanja.

Ni hoja nzito na ya maana kubwa...Lakini sidhani kama TFF na polisi watatilia maanani...Polisi wanajaa uwanjani sawa na mashabiki...polisi walipaswa wawe wamesambazwa kule mgulani, keko, serengenti, Duce, Kurasini, nje ya uwanja, sabasaba na kadhalika
 
Unakuta lipolisi linavizia hizo elfu 2 getini alafu mechi ikianza wote wanaacha upolisi wanakuwa mashabiki mwanzo mwisho wako busy na mechi na baada ya dakika 90 na wao wanaondoka kama mashabiki wanaacha watu wanavamiwa na vibaka.
Hizo barabara zote za kutokea zinapaswa kuwa na doria 24/7 la sivyo mnaumbuka.
Sent using Jamii Forums mobile app

Inatakiwa ifikie wakati TFF waanze kutumia trained stewards, polisi hawawez kua walinzi wazuri viwanjani!!!
 
Ni hoja nzito na ya maana kubwa...Lakini sidhani kama TFF na polisi watatilia maanani...Polisi wanajaa uwanjani sawa na mashabiki...polisi walipaswa wawe wamesambazwa kule mgulani, keko, serengenti, Duce, Kurasini, nje ya uwanja, sabasaba na kadhalika
You are very right
 
Mitazamo yao itabadilika kama watakuwa wanalipwa posho maalum kwenye mechi kubwa maana wote tunajua utamu wa kazi ni pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona usalama wa Taifa wanalipwa pesa za kawaida tu na siku wakienda uwanjani kufanya screening ya watazamaji huwa hawachukui pesa yoyote kwa mtazamaji na Kila mtazamaji anakuwa amekaguliwa au utasema kwasbabu wanakagaua walipita tayari getini.
 
Ni kweli si mtu mmoja na kikundi Cha vijana wengi tu.na hao vijana wanajuana na wengi wanatoka maeneo ya keko,mikoroshini na baadhi wa Tandika azimio na kilimahewa
Mkuu kumbe unaijua mitaa io!!Vijana wa hio mitaa wamepagawa sana....Born&Raised
 
Back
Top Bottom