MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Wamefanya vyema, isipokuwa sasa waache kuwaonea raia au kupora mali zao kwa nguvu za kutumia silaha. Wakumbuke kwamba silaha walizonazo zimenunuliwa kwa fedha za Kodi za Wananchi, hivyo Basi silaha hizo zinatakiwa zitumike katika kazi za kuwalinda hao Wananchi na Mali zao wala siyo vinginevyo.Kwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali.
Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa uamzi huo, na kuwaomba wawe watulivu,kwamba wao ni raia wa Congo, na tatizo halipo kwao bali kwa uongozi. Wote hao wamepelekwa katika kambi za M23 kwa ajili ya mafunzo mapya kabla hawajapelekwa kwenye maeneo mapya watakayopangiwa.
View: https://x.com/StanysBujakera/status/1893285577656611122
May be East Afrca kwa Museven au huku wakishupaza shingles wasipozingatia No reform no electionNoma sana...
Dunia inazidi kuchangamka.. Tulianzia ukraine, tukaja middle east sasa kongo, sijui kituo kinachofuata ni kipi....
Nlisikia bbc kuwa wanajeshi wanalipwa $82 na serikali sasa nani akafe kwa malipo hayo wakati wanaowalinda wao mabilionea.Kwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali.
Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa uamzi huo, na kuwaomba wawe watulivu,kwamba wao ni raia wa Congo, na tatizo halipo kwao bali kwa uongozi. Wote hao wamepelekwa katika kambi za M23 kwa ajili ya mafunzo mapya kabla hawajapelekwa kwenye maeneo mapya watakayopangiwa.
View: https://x.com/StanysBujakera/status/1893285577656611122
Mchawi wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe, $8000 alokuwa anawalipa wale wazungu kwa mwezi na wapo almost 300 angewalipa wa congo pengine leo tungeshuhudia congo ikiwa na amani kuliko ilivo leo.Nlisikia bbc kuwa wanajeshi wanalipwa $82 na serikali sasa nani akafe kwa malipo hayo wakati wanaowalinda wao mabilionea.
M23 ni kikundi cha Kigaidi kinachofadhiriwa na nchi ya Rwanda.Lakini wanatakiwa wafunzwe nidhamu ili waaache kuwa wanaonea raia na kuchukua rushwa.
Inavyoonekana wewe haujui historia ya Mgogoro huo.M23 ni kikundi cha Kigaidi kinachofadhiriwa na nchi ya Rwanda.
walikuwa wana option nyingine ili waweze kuwa huru ? happ hiari inaingiaje iwapo ili wabakie huru lzm wauache upande waoKwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali.
Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa uamzi huo, na kuwaomba wawe watulivu,kwamba wao ni raia wa Congo, na tatizo halipo kwao bali kwa uongozi. Wote hao wamepelekwa katika kambi za M23 kwa ajili ya mafunzo mapya kabla hawajapelekwa kwenye maeneo mapya watakayopangiwa.
View: https://x.com/StanysBujakera/status/1893285577656611122
Mandela na ANC pia waliitwa Magaidi.M23 ni kikundi cha Kigaidi kinachofadhiriwa na nchi ya Rwanda.
Bado Sudan akuvumi lakini wamoNoma sana...
Dunia inazidi kuchangamka.. Tulianzia ukraine, tukaja middle east sasa kongo, sijui kituo kinachofuata ni kipi....
Kwa nini hawakuwa nayo!!! Si wangebaki huko huko walikokuwa!? Hivi, wakati mwingine mnachekesha. Mpaka mtu anafanya kazi, linchi lote hilo, hadi miezi 6 hujalipwa mshahara, na wewe si mkazi wa jimbo hilo, hata nauli huwezi kupata. Yaani kikubwa unajuta kuajiliwa. Hiyo option nyingine unayoiona ni ipi?! Wameishi kwa kupora watu mali zao, unadhani walizaliwa hivyo au walikuwa wanaona raha!?walikuwa wana option nyingine ili waweze kuwa huru ? happ hiari inaingiaje iwapo ili wabakie huru lzm wauache upande wao
Kama ni magaidi na wanapendwa na raia, ugaidi huo si bora kuliko demokrasia sasa?M23 ni kikundi cha Kigaidi kinachofadhiriwa na nchi ya Rwanda.
Na ndo maana sasa hivi katika maeneo inayotawala M23, vibaka na wezi wanachezea shaba kinoma. Mtu chake. Fanya kazi upate chako. Tabia za awali, utajuta. Na raia wanafurahiaWamefanya vyema, isipokuwa sasa waache kuwaonea raia au kupora mali zao kwa nguvu za kutumia silaha. Wakumbuke kwamba silaha walizonazo zimenunuliwa kwa fedha za Kodi za Wananchi, hivyo Basi silaha hizo zinatakiwa zitumike katika kazi za kuwalinda hao Wananchi na Mali zao wala siyo vinginevyo.
CONGOSleeping giant