Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Swali gani hili la kitoto wakati jibu unalijua...Noma sana...
Dunia inazidi kuchangamka.. Tulianzia ukraine, tukaja middle east sasa kongo, sijui kituo kinachofuata ni kipi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali gani hili la kitoto wakati jibu unalijua...Noma sana...
Dunia inazidi kuchangamka.. Tulianzia ukraine, tukaja middle east sasa kongo, sijui kituo kinachofuata ni kipi....
Kwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali.
Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa uamzi huo, na kuwaomba wawe watulivu,kwamba wao ni raia wa Congo, na tatizo halipo kwao bali kwa uongozi. Wote hao wamepelekwa katika kambi za M23 kwa ajili ya mafunzo mapya kabla hawajapelekwa kwenye maeneo mapya watakayopangiwa.
View: https://x.com/StanysBujakera/status/1893285577656611122
Jeshi Tshisekedi, jeshi la DRC. Kabila is long gone and forgotten.Jeshi la kabila
Wananchi wanaowashangilia na wewe Mhutu mitazamo yenu iko tofauti kabisa katika hili sakata.M23 ni kikundi cha Kigaidi kinachofadhiriwa na nchi ya Rwanda.
Syria sasa hvi kumetulia baada ya magaidi kuchukua nchi. Congo nayo itatulia m23 wakichukua nchi..Mandela na ANC pia waliitwa Magaidi.
Sasa hivi wameanza kukamata mtu yeyote anayeongea Kiswahili huko Kinshasa na kama tujuavyo Kongo ya Mashariki wamaongea Kiswahili ili kuwasiliana.Syria sasa hvi kumetulia baada ya magaidi kuchukua nchi. Congo nayo itatulia m23 wakichukua nchi..
Kituo kinachofuata ni TanganyikaNoma sana...
Dunia inazidi kuchangamka.. Tulianzia ukraine, tukaja middle east sasa kongo, sijui kituo kinachofuata ni kipi....
Kwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali.
Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa uamzi huo, na kuwaomba wawe watulivu,kwamba wao ni raia wa Congo, na tatizo halipo kwao bali kwa uongozi. Wote hao wamepelekwa katika kambi za M23 kwa ajili ya mafunzo mapya kabla hawajapelekwa kwenye maeneo mapya watakayopangiwa.
View: https://x.com/StanysBujakera/status/1893285577656611122
Kwa akili yako aliondoka kiboyaJeshi Tshisekedi, jeshi la DRC. Kabila is long gone and forgotten.
Kwa Congo ni tofautiSyria sasa hvi kumetulia baada ya magaidi kuchukua nchi. Congo nayo itatulia m23 wakichukua nchi..
Gaidi ni M23 na boss wake alieko Rwanda.Sasa hivi wameanza kukamata mtu yeyote anayeongea Kiswahili huko Kinshasa na kama tujuavyo Kongo ya Mashariki wamaongea Kiswahili ili kuwasiliana.
Nani Gaidi hapo?!
Kagame ni freedom fighter single handedly kakomesha mauaji ya Kimbari Rwanda na DRC.Gaidi ni M23 na boss wake alieko Rwanda.