Polisi na wanajeshi wa FARDC wajiunga na M23

Hii ndio inaitwa na Reform no Election🤣🤣
 
Syria sasa hvi kumetulia baada ya magaidi kuchukua nchi. Congo nayo itatulia m23 wakichukua nchi..
Sasa hivi wameanza kukamata mtu yeyote anayeongea Kiswahili huko Kinshasa na kama tujuavyo Kongo ya Mashariki wamaongea Kiswahili ili kuwasiliana.

Nani Gaidi hapo?!
 
DRC kuna wapuuzi wengi sana
 
Sasa hivi wameanza kukamata mtu yeyote anayeongea Kiswahili huko Kinshasa na kama tujuavyo Kongo ya Mashariki wamaongea Kiswahili ili kuwasiliana.

Nani Gaidi hapo?!
Gaidi ni M23 na boss wake alieko Rwanda.
 
Gaidi ni M23 na boss wake alieko Rwanda.
Kagame ni freedom fighter single handedly kakomesha mauaji ya Kimbari Rwanda na DRC.

Ufaransa Zaire wote waliingilia vita dhidi ya Kagame UN hadi ikawa inawasaidia Interahamwe lakini Kagame alithibitisha kuwa alikuwa anapigana na forces of evil.

Huo so called ugaidi ni chuki zenu tu.
 

22 February 2025
Bukavu Kivu
DR Congo

2100 members of the Congolese National Police and 890 government soldiers of the FARDC surrender to M23


View: https://m.youtube.com/watch?v=QkyLZXOuPOo
The will undergo a crash program for rehabilitation and join the M23 ranks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…