Uchaguzi 2020 Polisi, NEC lini walimpa Lissu adhabu ya kutokusafiri?

Uchaguzi 2020 Polisi, NEC lini walimpa Lissu adhabu ya kutokusafiri?

This is just a simple logic, shughuli yeyote ya Kisiasa wakati wa kampeni za uchaguzi na hasa wewe ukiwa mmoja wa wagombea ni kufanya kampeni. Labda tume ikazie hukumu kwa kumwambia Lissu amefungiwa kufanya shughuli zote kasoro faragha ya kwenda maliwato. Mdudu aliye kichwani mwa Lissu anamfanya awemgumu kuelewa.
 
Hawa polisi Sasa Ni dhahiri wanaingilia shughuli binafsi za mgombea wa Chadema Lissu.

Lissu Ni mwanasiasa na shughuli kubwa kwake Ni kufanya siasa. Ili uweze kutekelezwa majukumu yako kisiasa Ni lazima utoke point A kwenda B kuhamasisha wanachama wako...
Polisi na NEC wote wameteuliwa na kuapishwa na mtu mmoja, lao ni moja.
 
Back
Top Bottom