Uchaguzi 2020 Polisi, NEC lini walimpa Lissu adhabu ya kutokusafiri?

This is just a simple logic, shughuli yeyote ya Kisiasa wakati wa kampeni za uchaguzi na hasa wewe ukiwa mmoja wa wagombea ni kufanya kampeni. Labda tume ikazie hukumu kwa kumwambia Lissu amefungiwa kufanya shughuli zote kasoro faragha ya kwenda maliwato. Mdudu aliye kichwani mwa Lissu anamfanya awemgumu kuelewa.
 
Polisi na NEC wote wameteuliwa na kuapishwa na mtu mmoja, lao ni moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…