roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
Kwahiyo mmewapumzisha walimu Sasa mpo na polisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaambiwa hivyo na wewe unakubali kulipa? Matatizo makubwa ni nyie waendesha vyombo vya moto ama kama nakosea wacha nije kununua chombo changu nijionee haya.Trafic anakukamata harafu anakuuliza kiongozi mbona huna fine ngoja nikuandikie na wewe uchamgie kidogo. Harafu hizi rushwa za 5000 zilichagizwa nakauli za magufuli Magufuli. eti 5000 hera ya polish.
Leo ndiyo nimesikia mtu kama hajaridhika kwenda kuipinga faini!Ni nadra sana kubambikia kosa barabarani. Madereva wengi wanafanya makosa na ushahidi unakuwepo.
Kama kweli umefanya kosa nakusihi kuwa mzalendo lipa hiyo 30k.
Kama hauna kosa acha aandike lakini unao uwezo wa kwenda kuipinga hiyo faini.
Kama usipowapa hiyo rushwa watakuandikia 60,000 ukalipe serikalini badala 30,000 ya hilo kosa.Unaambiwa hivyo na wewe unakubali kulipa? Matatizo makubwa ni nyie waendesha vyombo vya moto ama kama nakosea wacha nije kununua chombo changu nijionee haya.
Nashindwa kuamini kama unaweza kunyanyaswa bila kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio si una makosa? Sasa amekuonea nini?Kama usipowapa hiyo rushwa watakuandikia 60,000 ukalipe serikalini badala 30,000 ya hilo kosa.
Kosa la over speeding ni 60,000? Kosa la kutofunga mkanda ni 60,000. Ukikataa kutoa 2000 atakukomoa kwa 60,000. Mtu kama mm siku zote mara zote naona heri nitoe 60000 serikalini kuliko kumpa 5000 yeye. Na Mimi huwa namwambia nisamehe au niandikie ili niwahi ninakokwenda.
Polisi anakasirika makosa yasipotendeka. Yuko radhi ajifiche kichakani ili makosa yatendeke.Unaambiwa hivyo na wewe unakubali kulipa? Matatizo makubwa ni nyie waendesha vyombo vya moto ama kama nakosea wacha nije kununua chombo changu nijionee haya.
Nashindwa kuamini kama unaweza kunyanyaswa bila kosa
Sent using Jamii Forums mobile app