Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi.
BEFORE and AFTER
Hata upinzani pia wamekubali mambo yamebadilika sana haya ni maneno ya Joseph Mbilinyi (Sugu)
"Tunalipongeza jeshi polisi kwa namna ambavyo wametupa ushirikiano toka tumeanza mikutano, tunapaswa kuwapongeza kwa hili. Kipindi cha nyuma kulikuwa hamna ushirikiano lakini toka juzi tumeona ushirikiano wenu polisi na hata nyie mnatabasamu"