Ila sasa wale wenzetu na sie wanapaswa kujua na kubadilika kwa matendo na isiwe tunaona haya leo,ila pindi tukikaribia kuamua kwa mabox ya kura,msiturudishe tulikotoka.Asante sana maridhiano
Maridhiano yametengeneza taifa lenye amaniAsante sana maridhiano
Ndio maana mtawala wa awamu ya sita amewacontrol police to be good people and friends of TanzanianPolisi wa Africa hawana moral will. Hali yao inategemea ya watawala. Robotic
Kwaiyo inatakiwa tumshukuru Mungu ametupa kiongozi mzuri anaejali amani ya nchiSio polisi waliobadilika bali mtawala, polisi hao hao wanaweza kuwa vinginevyo kulingana na akili ya mtawala.
Kabisa.Kwaiyo inatakiwa tumshukuru Mungu ametupa kiongozi mzuri anaejali amani ya nchi
Kwenye yale mazungumzo yaliyovuja kwenye group lao alisikika mmoja akisema nyakati hizi INABIDI WAWE NEUTRALNilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi
BEFORE AFTER
View attachment 2492765
Hata upinzani pia wamekubali mambo yamebadilika sana haya ni maneno ya Joseph Mbilinyi (Sugu)
"Tunalipongeza jeshi polisi kwa namna ambavyo wametupa ushirikiano toka tumeanza mikutano, tunapaswa kuwapongeza kwa hili. Kipindi cha nyuma kulikuwa hamna ushirikiano lakini toka juzi tumeona ushirikiano wenu polisi na hata nyie mnatabasamu"
AWAMU ya 5 Tulikuwa na JINI[emoji1787][emoji1787]Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi
BEFORE AFTER
View attachment 2492765
Hata upinzani pia wamekubali mambo yamebadilika sana haya ni maneno ya Joseph Mbilinyi (Sugu)
"Tunalipongeza jeshi polisi kwa namna ambavyo wametupa ushirikiano toka tumeanza mikutano, tunapaswa kuwapongeza kwa hili. Kipindi cha nyuma kulikuwa hamna ushirikiano lakini toka juzi tumeona ushirikiano wenu polisi na hata nyie mnatabasamu"
Yule Mhutu alikuwa analipeleka nchi kuzimu kabisaNilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi
BEFORE AFTER
View attachment 2492765
Hata upinzani pia wamekubali mambo yamebadilika sana haya ni maneno ya Joseph Mbilinyi (Sugu)
"Tunalipongeza jeshi polisi kwa namna ambavyo wametupa ushirikiano toka tumeanza mikutano, tunapaswa kuwapongeza kwa hili. Kipindi cha nyuma kulikuwa hamna ushirikiano lakini toka juzi tumeona ushirikiano wenu polisi na hata nyie mnatabasamu"
Credit to the controller not the controlledNdio maana mtawala wa awamu ya sita amewacontrol police to be good people and friends of Tanzanian
Polisi ni wenzetuNilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani