Polisi Njombe: Ukimuita mwenzio Mchawi unakwenda jela miaka 7 bila dhamana

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana.

Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na idara ya dawati la jinsia na watoto walipofika kijiji cha Itunduma kata ya Mtwango wilayani Njombe kutoa elimu juu ya unyanyasaji wa kijinsia,mauaji pamoja na udumavu mambo ambayo yamekuwa yakiwatesa wananchi mkoani humo.

“Kama kuna mtu anatangaza uchawi iwe mwisho,ukimwita mtu mchawi tukagundua,unakwenda jela miaka saba yaani hiyo unakwenda moja kwa moja hakuna dhamana”alisema Sajenti Thobias Nyagawa

Kwa upande wake kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amewaonya vikali vijana wanao subiri kurithi mali za wazazi wao badala ya kufanya kazi ili waweze kujikwamua kiuchumi.
 
Kama muhusika kasema mwenyewe ni mchawi,hii imekaaje

Maana wapo ambao huwa Wanatoa tambo hadharani
 
Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana.

Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na idara ya dawati la jinsia na watoto walipofika kijiji cha Itunduma kata ya Mtwango wilayani Njombe kutoa elimu juu ya unyanyasaji wa kijinsia,mauaji pamoja na udumavu mambo ambayo yamekuwa yakiwatesa wananchi mkoani humo.

“Kama kuna mtu anatangaza uchawi iwe mwisho,ukimwita mtu mchawi tukagundua,unakwenda jela miaka saba yaani hiyo unakwenda moja kwa moja hakuna dhamana”alisema Sajenti Thobias Nyagawa

Kwa upande wake kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amewaonya vikali vijana wanao subiri kurithi mali za wazazi wao badala ya kufanya kazi ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Tuambie mkuu, naona una stori za vijiwe vya police kota.
Mtu anafungwaje miaka saba bila dhamana?
 
Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana.

Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na idara ya dawati la jinsia na watoto walipofika kijiji cha Itunduma kata ya Mtwango wilayani Njombe kutoa elimu juu ya unyanyasaji wa kijinsia,mauaji pamoja na udumavu mambo ambayo yamekuwa yakiwatesa wananchi mkoani humo.

“Kama kuna mtu anatangaza uchawi iwe mwisho,ukimwita mtu mchawi tukagundua,unakwenda jela miaka saba yaani hiyo unakwenda moja kwa moja hakuna dhamana”alisema Sajenti Thobias Nyagawa

Kwa upande wake kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amewaonya vikali vijana wanao subiri kurithi mali za wazazi wao badala ya kufanya kazi ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Njombe mlivyo wachawi, labda Mkoa mzima ugeuzwe gereza
 
Polis wamezoea kuhukumu wao utadhan ndio mahakama,hata PGO hawajui..hili jeshi ni la kufanya overhaul tu..weng hawajui hata primary roles za police officer
Yaani anatoa hukumu kwa mujibu wa mdomo wake, na si kwa mujibu wa Sheria,hatari sana ndio mana wanaua hata kuua
 
Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana.

Kumbe Njombe ni teritory, wameunganisha polisi na mahakama
 
Jeshi la Polisi Mkoani Njombe limeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake Mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itasababisha kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila kupata dhamana.

Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na Idara ya Dawati la Jinsia na Watoto walipofika Kijiji cha Itunduma, Kata ya Mtwango Wilayani Njombe kutoa elimu juu ya unyanyasaji wa kijinsia, mauaji pamoja na udumavu mambo ambayo yamekuwa yakiwatesa wananchi mkoani humo.

"Kama kuna mtu anatangaza uchawi iwe mwisho, ukimwita mtu mchawi tukagundua, unakwenda jela miaka saba yaani hiyo unakwenda moja kwa moja hakuna dhamana," alisema Sajenti Thobias Nyagawa.

Kwa upande wake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamis Issah amewaonya vikali vijana wanaosubiri kurithi mali za wazazi wao badala ya kufanya kazi ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Chanzo: Dar Mpya
 
Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana.

Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na idara ya dawati la jinsia na watoto walipofika kijiji cha Itunduma kata ya Mtwango wilayani Njombe kutoa elimu juu ya unyanyasaji wa kijinsia,mauaji pamoja na udumavu mambo ambayo yamekuwa yakiwatesa wananchi mkoani humo.

“Kama kuna mtu anatangaza uchawi iwe mwisho,ukimwita mtu mchawi tukagundua,unakwenda jela miaka saba yaani hiyo unakwenda moja kwa moja hakuna dhamana”alisema Sajenti Thobias Nyagawa

Kwa upande wake kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amewaonya vikali vijana wanao subiri kurithi mali za wazazi wao badala ya kufanya kazi ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Huyu mpuuzi kwa sheria ipi?
 
Back
Top Bottom