Polisi: pikipiki zisizo na namba tishio!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Dar es salaam, Arusha na Moshi, wahalifu wanaopora Simu, mikoba na hata wizi ni wale wanaokuwa na pikipiki zisizo na Namba.
Jeshi la Polii litangaze kabisa, wakikuta pikipiki isiyo na namba, na ni ya zamani , namba zimekunjwa ama hazisomeki iwe halali yao, kwa mujibu wa sheria.
 
Na hata wale wanao binua ama kuzikunga plate no yaan trafiki ukikamat weka ndani hao wapuuzi maana ndo wanapiga matukio ukitaka kusoma plate no huioni
 
Mkuu jifunze matumizi ya hii alama :unapotumia alama hii inaonesha mtu x katoa hiyo kauli,mfano ukiandika, polisi:ikipiki zisizo na namba tishio ,inaonesha hii kauli imetolewa na polisi wakati kumbe wewe umeileta kama maoni yako binafsi
 
Dar es salaam, Arusha na Moshi, wahalifu wanaopora Simu, mikoba na hata wizi ni wale wanaokuwa na pikipiki zisizo na Namba.
Jeshi la Polii litangaze kabisa, wakikuta pikipiki isiyo na namba, na ni ya zamani , namba zimekunjwa ama hazisomeki iwe halali yao, kwa mujibu wa sheria.
Hao hao ni makada wa CCM
Kwa kifupi sisiem ni tishio kuliko hao boda
 
Umemaliza Kila kitu!
Kuna jsdi zimesajikia huku mtaani kama mvua.
Wakati wa usajiki wakiambiwa kabisa 'kadi yako ikiwa hai utasaidiwa na chama'
 
Huku Tabora kuna pikipiki zina picha ya saa100, kazi yao kusafirisha mirungi na bangi.
 
Dar es salaam, Arusha na Moshi, wahalifu wanaopora Simu, mikoba na hata wizi ni wale wanaokuwa na pikipiki zisizo na Namba.
Jeshi la Polii litangaze kabisa, wakikuta pikipiki isiyo na namba, na ni ya zamani , namba zimekunjwa ama hazisomeki iwe halali yao, kwa mujibu wa sheria.
Polisi ndio wezi wenyewe
 
Back
Top Bottom