Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Hao hao ni makada wa CCMDar es salaam, Arusha na Moshi, wahalifu wanaopora Simu, mikoba na hata wizi ni wale wanaokuwa na pikipiki zisizo na Namba.
Jeshi la Polii litangaze kabisa, wakikuta pikipiki isiyo na namba, na ni ya zamani , namba zimekunjwa ama hazisomeki iwe halali yao, kwa mujibu wa sheria.
Umemaliza Kila kitu!Hao hao ni makada wa CCM
Kwa kifupi sisiem ni tishio kuliko hao boda
Polisi ndio wezi wenyeweDar es salaam, Arusha na Moshi, wahalifu wanaopora Simu, mikoba na hata wizi ni wale wanaokuwa na pikipiki zisizo na Namba.
Jeshi la Polii litangaze kabisa, wakikuta pikipiki isiyo na namba, na ni ya zamani , namba zimekunjwa ama hazisomeki iwe halali yao, kwa mujibu wa sheria.
Ya watekaji hayo hayakamatwiKuna magari yasiyokuwa na namba pia!
Tuziripoti polisi, wanyonge ndio wanaporwa.Zimekuwa nyingi mno kibao cheupe bila namba,nilijua zinafutika kama kitambulisho cha taifa.
Piga 999Gari zenye namba bandia ni nyingi kupita maelezo
Je hatua gani hawa wadau nao wachukuliwe?nilijua zinafutika kama kitambulisho cha taifa.
Ukipiga ni hao hao!Piga 999