Polisi sasa wanaanza kukiri kuwakamata watu na kukanusha kuwateka. Mwanzo mzuri bàada ya D29

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kumbe nyinyi ndip mlikuwa "watu wasiojulikana" Leo mnakiri kila anayepaziwa sauti kuwa mnaye wala hajatekwa.
Mimi naona kama mwanzo mzuri kama mtu ana makosa mkamateni kwa kufuata sheria.

Kesho msiue watu!
 
Silah tunapataje au tuanze kukaba walinzi
 
Hapa ndugu buyobe je amechukuliwa juzi mpaka Leo kimya PT wanamichezo sana
 
Kumbe nyinyi ndip mlikuwa "watu wasiojulikana" Leo mnakiri kila anayepaziwa sauti kuwa mnaye wala hajatekwa.
Mimi naona kama mwanzo mzuri kama mtu ana makosa mkamateni kwa kufuata sheria.

Kesho msiue watu!
 
Kumbe nyinyi ndip mlikuwa "watu wasiojulikana" Leo mnakiri kila anayepaziwa sauti kuwa mnaye wala hajatekwa.
Mimi naona kama mwanzo mzuri kama mtu ana makosa mkamateni kwa kufuata sheria.

Kesho msiue watu!
Una matatizo kichwani wewe..
 
Waligeuka wakoloni sasa wanahaha
 
Pole pole ndo washammaliza kimya kimya daah sijui atapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…