Polisi, swala Hamza msitumie nguvu bali akili

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu najua mpo poa na mapambano ya kila siku, nami nasema mambano yaendelee maana Mungu yupo pamoja NASI

Moja kwa moja niwatake jeshi ,namanisha police ,kwenye Jambo la HAmza msitumie nguvu bali akili itokanayo na mafunzo yenu basi

Tumeona kwenye mitandao ya kijamii,ndugu na marafiki wanavyomzungumzia Hamza, na moja KWa moja pamoja kwamba kila binadam anamapungufu yake,ila bado lipo dirisha laonyesha, lipo Jambo mmemkwaza HAMZA Nyie police, naongea Kama Mungu anitakavyo

Sasa kuwanyanyasa familia ya HAMZA , EITHER wataka kujisafisa tu hamna jipya hapo,nakuaminisha watu kwamba jeshi la police lipo makini,ACHENI MARA MOJA
MUNGU ANASEMA.
Sioni sababu ya kunyanyasa familia ya HAMZA, labda tu Kama mna lengo lenu la kuonesha jamii kwamba police wanawajibika katika kiwango kikubwa, Yani leo IGP ukifanya tukio basi Familia yako iwekwe kitimoto ,kwani ndo imekutuma?
 
20716.jpg
 
Bora mamba wangekusikia
 
Kuna kitu wanajaribu kuficha ndio maana wanaitisha familia yake. Hamza angekuwa mbaya kama tunavyoambiwa angecharaza watu risasi atakavyo. Alikuwa na shida na Polisi ambacho Sirro hataki tujue ni ' Kwa nini Hamza alikuwa na shida na Polisi na sio raia?'
 
Nahisi mfukoni alikuwa na kikaratasi cha ujumbe wa kwa nini kaamua kuwaua hao mbwa koko
 
Back
Top Bottom