Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

Mtani ile ni tarifa ya kweli mana imepostiwa official page za yanga zote ikiwemo ya fb
Aaaaa sawa mtani
Ila nakupa pole umeamua kuanza upya wakati ligi inaendelea.
Mtani kule kwetu vipi umefungwa ngapi?
 
Game hii Yanga atashinda, kwa afya ya mchezo wa soccer Tanzania.

Itabidi namna ifanyike.

Nilijua tu ikitokea cha kutokea wasishinde kuna dhahama itatokea.

Naona tayari mambo yameenda kombo
 
Hiyo itakua sheria yako na labda sio mfuatiliaji wa mpira. Mkisha kuwa wachezaji wa timu moja zaidi ya mmoja mmewatoka mabeki hata mpiagiane pasi elfu kumi hakuna Offside hapo.

Angalia goli la pili la Tp Mazembe utajifunza kitu hapo.

Nenda kwenye rede nao ni mchezo pia
 
Back
Top Bottom