Pongo Pongo
JF-Expert Member
- Jan 15, 2021
- 473
- 586
Aaaaa sawa mtaniMtani ile ni tarifa ya kweli mana imepostiwa official page za yanga zote ikiwemo ya fb
Game hii Yanga atashinda, kwa afya ya mchezo wa soccer Tanzania.
Itabidi namna ifanyike.
Nanunua screenshot ya yanga makundi AFCL...Nanunua Screenshot ya Simba kuongoza LIGI
HongeraKwahiyo kwa sababu ulibahatisha matokeo ya mechi ya Alhamisi unasahau kuwa leo ni J'pili. Tunashinda Leo goli 2.
Aliempa Kaze file fake la Simba Mungu anamuona[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1719757
Nenda kwenye rede nao ni mchezo piaHiyo itakua sheria yako na labda sio mfuatiliaji wa mpira. Mkisha kuwa wachezaji wa timu moja zaidi ya mmoja mmewatoka mabeki hata mpiagiane pasi elfu kumi hakuna Offside hapo.
Angalia goli la pili la Tp Mazembe utajifunza kitu hapo.
Leo kibao kimegeuka, watu wamechoropokea kwenye off sidePigaaaaa hao utopolo..