ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Labda wewe ndiyo wa hovyo kwa kutokujua nani ndiye anayestahiki kuomba radhi kwa changamoto iliyojitokeza.Jeshi la hovyo lenye mentality za ulimbukeni wa madaraka
Haiwezekani umeme ukatwe na TANESCO kisha uende kulaumu aliyekuuzia Main switch ya nyumbani kwako.