figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Baada ya Polisi kujua kwamba wakionesha ukali kwa CHADEMA ndo wanapandishwa vyeo, hivi ndivyo wanafanya.
Mwanaume mwenzangu anipige hivi, nitakubali ila lazima ntamfuatilia yeye na kizazi chake hadi waniambie kosa ni nini.
Je, ni kweli njja za Polisi Hasira wanapelekewa CHADEMA?
Wanasiasa wanafanya Kaka zetu wanatugeuka, Wanasiasa wanafanya Masikini tunageukana.
Huyu anampiga ndugu yake kabisa. Si mchina wala mzungu ambao ndo wanatufanya masikini