figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Hio paragraph ya mwisho umeandika vichekeshoBaada ya Polisi kujua kwamba wakionesha ukali kwa CHADEMA ndo wanapandishwa vyeo, hivi ndivyo wanafanya.
Mwanaume mwenzangu anipige hivi, nitakubali ila lazima ntamfuatilia yeye na kizazi chake hadi waniambie kosa ni nini.
Je, ni kweli njja za Polisi Hasira wanapelekewa CHADEMA?
Wanasiasa wanafanya Kaka zetu wanatugeuka, Wanasiasa wanafanya Masikini tunageukana.
Huyu anampiga ndugu yake kabisa. Si mchina wala mzungu ambao ndo wanatufanya masikini
View attachment 3353952
Haki ya mtu kusikilizwa mahakamani ni ya kikatiba, na hakuna hatua yoyote ya kisheria inayoweza kuchukuliwa dhidi ya mtu bila kupitia utaratibu wa haki.sasa mahakama imeshaanza wewe unalazimisha kuingia mahakamani, hawa walikuwa wakukamata tu
Huyo jamaa yeye anajua ndio amemaliza safari ya maisha,kumbe bado sana na mbaya zaidi picha zake zimesambaaBaada ya Polisi kujua kwamba wakionesha ukali kwa CHADEMA ndo wanapandishwa vyeo, hivi ndivyo wanafanya.
Mwanaume mwenzangu anipige hivi, nitakubali ila lazima ntamfuatilia yeye na kizazi chake hadi waniambie kosa ni nini.
Je, ni kweli njja za Polisi Hasira wanapelekewa CHADEMA?
Wanasiasa wanafanya Kaka zetu wanatugeuka, Wanasiasa wanafanya Masikini tunageukana.
Huyu anampiga ndugu yake kabisa. Si mchina wala mzungu ambao ndo wanatufanya masikini
View attachment 3353952
Hivi hapo kuna 'paragraph ngapi mkuu, maana nimeshindwa kijuwa ni kipi hasa kinachoweza kumchekesha mtu mwenye akili timamu katika mistari yote iliyoandikwa hapo!Hio paragraph ya mwisho umeandika vichekesho
Kuwashambulia CHADEMA inatumiwa kama platform na polis kuonekana wanaipambania ccm ili wapandishwe vyeo. Hilo linajulikana and it is working well for themBaada ya Polisi kujua kwamba wakionesha ukali kwa CHADEMA ndo wanapandishwa vyeo, hivi ndivyo wanafanya.
Mwanaume mwenzangu anipige hivi, nitakubali ila lazima ntamfuatilia yeye na kizazi chake hadi waniambie kosa ni nini.
Je, ni kweli njja za Polisi Hasira wanapelekewa CHADEMA?
Wanasiasa wanafanya Kaka zetu wanatugeuka, Wanasiasa wanafanya Masikini tunageukana.
Huyu anampiga ndugu yake kabisa. Si mchina wala mzungu ambao ndo wanatufanya masikini
View attachment 3353952
Baada ya Polisi kujua kwamba wakionesha ukali kwa CHADEMA ndo wanapandishwa vyeo, hivi ndivyo wanafanya.
Mwanaume mwenzangu anipige hivi, nitakubali ila lazima ntamfuatilia yeye na kizazi chake hadi waniambie kosa ni nini.
Je, ni kweli njja za Polisi Hasira wanapelekewa CHADEMA?
Wanasiasa wanafanya Kaka zetu wanatugeuka, Wanasiasa wanafanya Masikini tunageukana.
Huyu anampiga ndugu yake kabisa. Si mchina wala mzungu ambao ndo wanatufanya masikini
View attachment 3353952
Utashtaki wapi ndugu yangu wakati wameshaiteka mifumo yote?..huyo raia aliyepigwa hawezi kushtaki kweli?
..askari Polisi ana sababu yoyote ya kumpiga huyo raia?
..au askari Polisi ametumia, au analindwa na, sheria gani, wakati akimpiga huyo raia?
Cc Lord Denning
Huyo polisi aliyekuwa anapiga watu leo ni mjinga sana, timu yetu ishakusanya taarifa zake zote.Baada ya Polisi kujua kwamba wakionesha ukali kwa CHADEMA ndo wanapandishwa vyeo, hivi ndivyo wanafanya.
Mwanaume mwenzangu anipige hivi, nitakubali ila lazima ntamfuatilia yeye na kizazi chake hadi waniambie kosa ni nini.
Je, ni kweli njja za Polisi Hasira wanapelekewa CHADEMA?
Wanasiasa wanafanya Kaka zetu wanatugeuka, Wanasiasa wanafanya Masikini tunageukana.
Huyu anampiga ndugu yake kabisa. Si mchina wala mzungu ambao ndo wanatufanya masikini
View attachment 3353952
ili upate haki yako ya kisheria huna budi kufuata utaratibu, mahakama imeshaanza ukumbi umejaa unalazimisha kuingia ndani, unaambiwa katizame kwenye luninga hutaki, msitake kutumalizia chakula mahabusu nyie wakupiga tu mnaenda kwenuHaki ya mtu kusikilizwa mahakamani ni ya kikatiba, na hakuna hatua yoyote ya kisheria inayoweza kuchukuliwa dhidi ya mtu bila kupitia utaratibu wa haki.
hamna cha kumfanya, wapuuzi nyieHuyo polisi aliyekuwa anapiga watu leo ni mjinga sana, timu yetu ishakusanya taarifa zake zote.
Atavuna alichopanda
Haki si zawadi ya kuombewa bali ni ya kudaiwa lakini si kwa kunyanyaswa.ili upate haki yako ya kisheria huna budi kufuata utaratibu, mahakama imeshaanza ukumbi umejaa unalazimisha kuingia ndani, unaambiwa katizame kwenye luninga hutaki, msitake kutumalizia chakula mahabusu nyie wakupiga tu mnaenda kwenu
mkuu, kesi ilitaka isomwe kwa njia ya mtandao ni nyie ndo mlikataa, mukaambiwa eneo la mahakama ni dogo mkaridhia wahudhuriaji watakuwa wachache, hakuna haki ya kuvunja sheria na jeshi letu sio police service ni police force, kwanza hiyo ni kesi ya kawaida inakuzwa watu wajipatie umaarufu tuHaki si zawadi ya kuombewa bali ni ya kudaiwa lakini si kwa kunyanyaswa.
Ukumbi kujaa si kigezo cha kunyimwa haki, na kama kweli luninga inatosha kutoa haki, basi mahakama zingefungwa, kila mtu angehukumiwa kupitia Tv
Kuhusu chakula cha mahabusu, msijifanye kama mna huruma zaidi ya sheria, haiwezekani mtumie marungu badala ya miongozo halali halafu mjione wema kuliko raia. Haki haibagui sura wala sare.