Polisi Tanzania wabana waachia, sherehe za Pasaka ruksa

Polisi Tanzania wabana waachia, sherehe za Pasaka ruksa

Ni la kawaida sana tu. Sema mliopo humo huwa mnajidanganya kuwa Katoliki ndio kila kitu. Kuna nchi zinaweza kusema hivyo ambazo Katoliki ni 80+. Lakini kwa nchi yako sio kiviiiiile kama mnavyojidanganya.

Eti kucheza na Kabisa Katoliki ni kucheza na Moto
Jidanganye🤣🤣🤣
 
Kumbe polisi NI POLISI KOKO[emoji16][emoji16][emoji16].
TUNADEKAAA.
ukitupiga tunaenda kusema Kwa MAMA.
Siku nyingine ukikimbilia kwa maza na ukamkuta dish limesogea, utaambulia mabanzi utoke mbio na kilio juu![emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom