DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutekwa kwa Fredrick Mang'era Kemange maarufu British, mkazi wa Kijiji cha Gwitiryo Sirari likieleza kuwa linamshikilia kwa tuhuma za kuchapisha na kusambaza taarifa za uchochezi na kuhamasisha vurugu Desemba 09, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema British amekamatwa Desemba 03, 2025 majira ya saa saba mchana akiwa hotelini na kufikishwa kituo cha polisi Sirari kwa hatua zaidi za kisheria.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema litaendelea kuwasaka na kuwakamata wale wanaoendesha makundi mbalimbali, kuchapisha na kusambaza taarifa zenye maudhui ya kuhamasisha uhalifu katika mitandao ya kijamii.
--------------
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa za upotoshaji zinazoachapishwa na kusambazwa katika mitandao ya kijamii zikiieleza kuwa “Frederick British wa Kijiji cha Gwitonyo, Mji wa Sirari ametekwa na Polisi mchana huu akiwa anakula chakula kwa Ndugu Hotel huku ni muendelezo wa vyombo vya Dola kutishia watu kaka yake alitekwa akapotea miaka minne aliyapokuwa mfanyabiashara”.
Taarifa sahihi ni kwamba, mnamo tarehe 03.12.2025 majira ya saa saba mchana Ndugu Fredrick Mang’era Kemange maarufu kwa jina la British, Mkazi wa Kijiji Gwitonyo Sirari akiwa Hotelini na Watu wengine alikamatwa na Askari wa Polisi. Askari hao walijitambulisha na kumuelezea kosa analotuhumiwa nalo na kushirikiana na wenzao wakampeleka na kufungulia mashtaka ndipo na uchunguzi unao husiana na Machafuko yaliyotokea wa 09.2025. Baada ya kukamilisha kitifutio cha Polisi Sirari kwa hatua zaidi za Kisheria.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya linatoa wito kwa Wananchi kuacha kutoa ama kuchukua na kutoa na kusambaza taarifa za upotoshaji kwa nia ya kutunga na kuchochea hali tata za kisheria kwa vyombo vya kisheria ambavyo vinafuatilia jambo hilo. Aidha linatoa uelewa kuwa suala na kukamatwa wanawengine ni la kiuhalifu, kumbukumbishi, na kusambaza taarifa zenye mashaka na kuhusisha mamlaka ni ukosa unaofanywa na Watu wenye nia ovu kwa mustakabali wa ufalme uliohitilafu katika mitandao ya kijamii.