Polisi, TMDA wakamata mtandao wa kutengeneza dawa feki za Binadamu Dar

Huyo ni muuaji,Mali zake alizopata ziuzwe zikasaidie kununua dawa wapewe wagonjwa katika hospitali yoyote ili kufidia maovu yake
 
Nimeona hapo AZUMA feki kudadadeki nilishawahi kukutana nazo hizi.

Kawaida Azuma OG ukipata Gono na mambukizi yoyote ya njia ya mkojo, UTI , kikohozi ,mafua makali, koo kuwasha nk Ukipiga vidonge vitatu tu unakua mpya

Na moja ya side effects yake ni kua unakunya kinyesi laini kama uji au wanaita uharisho, tofaut ni kua hii unaharisha bila tumbo kuuma .

Sasa ukikutana na hizo famba ni kama umemeza Panadol tu.

Hao washezi kama kuna uwezekano wanyongwe kabisa maana nao ni wauwaji wakubwa
 
Aisee
 
Hii kesi iliishiaje?

Huyu William Mwangile yupo ndani au nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…