masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Majeruhi kutokana na boda kwa mwezi ni zaidi ya 450, kulingana takwimu za MOI-muhimbili.Wapo busy na chama...wawalinde nyie mnawapa nini?
Hawa ni wapigakura wetu msiwabugudhi.
Mji wa DSM unazidi kukua, na usafiri wa umma(Rapid Bus Transport) bado ni ndoto.
Ongezeko kubwa la Bodaboda na Bajaja unajitahidi kuziba tatio la usafiri wa haraka hasa foleni jijini.
Lakini huu ni safiri kwanza ni wa roho mkononi kwa watumiaji, na pili kero kubwa kwa watumiaji wengine wa barabsra,maana hawafuati sheria zozote.
Mbaya zaidi wengi hawana bima wala leseni.
Polisi wa Traffic wapo, lakini nso ninkamavtstizo hilo limewazidi kimo kulingana na mspungufu yabkujipanga kwao.
SASA MAPENDEKEZO:
1. WAWEPO POLISI MAALUM WA BODA BODA NA BAJAJ
Hawa wapate mafunzo maalum kudhibiti makosa ya bodaboda na bajaj. Hapa kuna fine nyingi sana zitakazoweza kulipa mishahara yao.
2. KILA MAKUTANO MAKUBWA YAWE KITUO CHA TRAFFIC.
Makutano ya Chang'ombe-Machinjio, Kilwa rd/Mandela, Kamata/Nyerere rd, ali Hassan Mwinyi/Bibi Titi , Morocco/Bagamoyo rd, Mwenge/Bagamoyo rd Ububgo/Mandela, Magomeni/ Morogoro rd
Haya ninmakutano makuu yanaweza kutumika kudhibiti kero za bajaj/ bodaboda.
Polisi waweke kituo mobile kila makutano makubwa kudhibiti bodaboda na bajaj. Kila kituo kiwe na askari hata 15-20, ili upate askari 5, kila njia(njia ziko 4).
Kila njia idhibitiwe, helmet zivaliwe, mishkaki idhibitiwe, kuheshimu taa za kuongoza vyombo vya moto isimamiwe. Bima na leseni ziksguliwe vile vile.
Tuanzie hapo.
Polisi Traffic lazima wawe wabunifu na wasikariri mazoea.
Nchi ndogo kama Rwanda wameweza, sisi tunashindwa nini?
Mpaka sasa ni out of control, polisi nao wanashangaa kama raia.Situesheni gona bi auti of kontroo soon
Kuingiza siasa katika mambo ya kudhibiti sheria na taratibu, haya ndio yametufikisha hapa.Mkuu unataka ccm wapate wapi kura ukiwadhibiti hao boda boda???
Hao maafisa usafirishaji ni untouchable..!
Boda boda ni laana !
Godbless Lema…
Kuenxelea kuwalea hawa Boda ni kucheza na jinamizi la hatari sana kuhusu majeruhi na vifo vya ajali.Tanzania madreva wa vyombo vya moto hawana ustaarabu barabarani. Yani hizo zebra, + taa hawana habari nazo. Dreva anaona kabisa kuna watu wanavuka ila ndo kwanza anachochea, bodaboda hujui wanakotokea.
Wakati mwingine unakuta kuna watoto wanavuka ila population ya magari na pikipiki ni kubwa, hawana habari.
Kwa sasa serikali, hasa Polisi Traffic hawana mkakati wowote kudhibiti hali hii.Kuenxelea kuwalea hawa Boda ni kuheza na jinamizi la hatari sana kuhusu majeruhi na vifo vya ajali.
Mkuu, hivi unajua kuwa nchi yetu Ina uhaba mkubwa sana wa askari ndio maana kuna baadhi ya sehemu reserve force (mgambo) hutumika pamoja na askari kata??