Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwa kweli zoezi kama hili ni mtambo wa rushwa tu.Leseni wanatoa wenyewe, kinacho wafanya wakague kitu walichotoa wenyewe Ni nini?
Kama Ni ukaguzi wa leseni Basi ifanywe na taasis nyingine sio polisi.
Na hiyo leseni ilitokaji TRA bila TIN number. Kwamba mifumo ya leseni haifungamani na TIN number....anyway hawa watu ni basi tu...wengi wao ni zile product za div 4 na ziroTumesikia hivi karibuni, tangazo la Polisi Trafiki kupitia kwa Kamanda wa Trafiki Ramadhani Ng'azi kuwa dereva aje na leseni, kitambulisho cha NIDA, kitambulishi cha mlipa kodi TIN, cheti cha afya na shada ya shule aliyisomea udereva...
Kwanza,Leseni ya udereva haitolewi na polisi.Leseni wanatoa wenyewe, kinacho wafanya wakague kitu walichotoa wenyewe Ni nini?
Kama ni ukaguzi wa leseni Basi ifanywe na taasis nyingine sio polisi.
Tanzania ndo nchi pekee ambayo kila mtu ni mchambuzi wa kila Tasisi na idara.....
Tumesikia hivi karibuni, tangazo la Polisi Trafiki kupitia kwa Kamanda wa Trafiki Ramadhani Ng'azi kuwa dereva aje na leseni, kitambulisho cha NIDA, kitambulishi cha mlipa kodi TIN, cheti cha afya na shada ya shule aliyisomea udereva!
Kwa hayo masharti tu, unagundua kuwa kitengo chetu kina tatizo kubwa. Kwanza hawakujitayarisha kiutendaji kwa zoezi. Unachohitaji hapo ni namba ya leseni tu iliyosajiliwa na TRA. Ukiacha cheti cha afya, vingine vyote unavipata kwa mtandao.
Zoezi hili linaweza kuwa mtambo wa rushwa kwa Askari wa Trafiki.
Kamanda IGP alitazame hilo kwa makini.
Leseni ya udereva inatolewa na TRA baada ya recommendation za polisi.Leseni ya udereva haitolewi na polisi.
Leseni ya udereva inatolewa na TRA baada ya recommendation za polisi.
Usidandie treni kwa mbele.
Unajichanganya tu hakuna hata ulijualo.Leseni wanatoa wenyewe, kinacho wafanya wakague kitu walichotoa wenyewe ni nini?
Kama ni ukaguzi wa leseni Basi ifanywe na taasis nyingine sio polisi.
Maneno mengi hayajengi. Tuelimishe jinsi ya mtu kupata leseni ya udereva Tanzania. Chukulia MTU huyo Hana hata hiyo provisional licence.Unajichanganya tu hakuna hata ulijualo.
Kuna Leseni za muda/kujifunzia udereva zinatolewa na TRA bila hiyo recommendation ya polisi na ndiyo utaratibu na watu wanaendeshea vyombo barabarani.