GE2025 Polisi: Tumieni fursa mlizonazo kulinda amani ya nchi

GE2025 Polisi: Tumieni fursa mlizonazo kulinda amani ya nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Hayo yamesemwa na Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro Stesheni Sajenti Mkunde pamoja na Koplo Asumta wakati wakitoa elimu kwa wafanyabiashara wa soko la nguo za mitumba wilayani humo ambapo wamewataka kukumbushana juu ya umuhimu wa amani.

Sambamba na hilo waliwakumbusha kuwa biashara wanazozifanya ni kutokana na amani, utulivu na usalama uliopo hivyo wanatakiwa kukemea na kupinga vitendo ambavyo vinaweza kuharibu amani ya Taifa letu

Katika hatua hiyo, waliwasihi kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa zenye kusaidia kufichua wahalifu na uhalifu ili kuhakikisha amani inaendelea kutamalaki siku zote.
1761217598328.png


1761217628887.png
 
Back
Top Bottom