Pre GE2025 Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ali Kibao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msituambie alikuwa anafsnya mkusanyiko usio halali ndani ya basi akiwa na wenzake 65!
 
polisi wa tanzania wanatumia mavi kichwani kufikiri

Mungu nisamehe
 
kazi ya kijambazi ya green guard hiyo wakishirikiana na tiss uchwara. mimi kila siku nitasisitiza tz ni nchi ya kipumbavu kwa kiwango cha tbs
 
TUNAHITAJI MAOMBI MFULULIZO YA KUOMBA TOBA NA REHEMA MWA MUNGU ELSE NAONA MABAYA MENGI YAKIENDELEA BILA HOFU YA MUNGU MTAENDELEA KULIA TU
 
Ukitekwa pambana mmalizane palepale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…