Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Walikwisha tetewa badala ya kuwaacha wajitetee.Duh kumbe polisi hawajuwi
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikwisha tetewa badala ya kuwaacha wajitetee.Duh kumbe polisi hawajuwi
Ova
Kitambulisho si kinafojiwa tu?Cha msingi itangazwe askari watembee na vitambulisho na asikamatwe mtu bila askar kuonyesha kitambulisho kama hana wananchi wachukue sheria mkononi tu
Nina mashaka makubwa na IGPTAARIFA KWA UMMA
Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao hawakuweza kujulikana majina yao.
Aidha, leo Septemba 7,2024 tumesikia taarifa kuhusiana na tukio hilo kupitia vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo John Mnyika.
Jeshi la Polisi, lingependa kutoa taarifa kuwa, lilipokea taarifa hiyo na kuanza uchunguzi wa kubaini kilichotokea, chanzo chake na watu waliohusika ni akina nani.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
View attachment 3089524
Pia soma
Hawawezi kujichunguza wenyewe, polisi ni wahusika wakuu na huenda wana baraka zote kutenda haya!TAARIFA KWA UMMA
Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao hawakuweza kujulikana majina yao.
Aidha, leo Septemba 7,2024 tumesikia taarifa kuhusiana na tukio hilo kupitia vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo John Mnyika.
Jeshi la Polisi, lingependa kutoa taarifa kuwa, lilipokea taarifa hiyo na kuanza uchunguzi wa kubaini kilichotokea, chanzo chake na watu waliohusika ni akina nani.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
View attachment 3089524
Pia soma
Cha msingi itangazwe askari watembee na vitambulisho na asikamatwe mtu bila askar kuonyesha kitambulisho kama hana wananchi wachukue sheria mkononi tu
Vitafojiwa vya bándiaCha msingi itangazwe askari watembee na vitambulisho na asikamatwe mtu bila askar kuonyesha kitambulisho kama hana wananchi wachukue sheria mkononi tu
Next time ujifunze spinning, hata kuiwekanstory ikaaminika umeshindwa?Kuna taarifa kuwa mipango ya mauaji ya ally kibao imesukwa ndani ya CHADEMA baada ya kujua mzee huyo ni mwanajeshi mstaafu.
Inasemekana ndani ya CHADEMA mpango huo ulikuwa wa siku nyingi na walimuita aende Tanga kwa kazi ya chama kumbe ndio walikuwa wanamsuka auawe.
Kumbuka mauaji yanayopangwa na CHADEMA kwa nyakati hizi kuelekea uchaguzi ni kuzua taharuki jambo ambalo haliwezekani na jeshi la Polisi linabidi kuingilia kati kuichunguza CHADEMA .
CHADEMA ni shida sana wanauana kwa uchu wa madaraka na kusigana ndani kwa ndani, hadi uchaguzi uishe wataumizana sana!
CrapTAARIFA KWA UMMA