PostGE2025 Polisi: Tunaendelea kuchunguza matamko yenye kuashiria uvunjifu wa amani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tukomboe nchi yetu tuunde jeshi letu la tanganyika hili libaki la muungano liendelee kuwalinda wahuni wenzao
 
Wapuuzi sana hawa polisi wao wenyewe wapo nyuma ya hayo matamko
 
 
Hakuna Polisi Mwenye akili timamu zaidi ya njaa Kali
Hakuna Polisi aliyeingia kwenye kazi hiyo eitha alikuwa anatafuta ajira na hakuna namna ya kupata sehemu nyingine.

Chuo kikuu nilimaliza na mdada mmoja aliyeenda Polisi Kwa kuahidiwa cheo kikubwa eti kisa ana degree mpaka Leo hajaolewa na miaka 40,hana cheo ,Hana NYUMBA Wala gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…