Polisi: Tunafuatilia tukio la askari kumshambulia Dereva wa Lori Njombe

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776

Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limeanza kuchunguza picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikimuonyesha askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani akimshambulia dereva wa lori. Polisi imesema uchunguzi huo unafanyika kwa kuzingatia misingi ya sheria ili kubaini mazingira na ukweli wa tukio hilo.

Jeshi hilo pia limewataka wananchi kuzingatia sheria na kujiepusha na vitendo vya uhalifu, likisisitiza kuwa litawachukulia hatua wahusika wa matukio ya kihalifu kwa mujibu wa sheria. Aidha, Polisi imesema itaendelea kushirikiana na wananchi pamoja na vyombo vingine vilivyo kwenye mnyororo wa haki jinai katika kuhakikisha usalama na utawala wa sheria.
TAARIFA YA KAMANDA WA POLOSI NJOMBE.webp
 
View attachment 3684328
Police once again!
 
Nje ya maada , wajumbe hivi Hawa police tokea mwaka uanze wako Na kampeni ya kutafuta trust ya raia? Simu yangu nikifungua Tu Naona
1) police wanaimba kwaya sijui wapi huko
2)police anatoa msaada sijui Kwa ombaomba

3) police wanatoa misaada
4) mara wanacheza Mpira Na Raia
5) michano live (hiphop)Na Raia
Na mengine mengi Tu
Nawaza mbona hawakuwa hivi Hawa ndugu ,Ni Nini kinawapata, mbona miaka mingine sijaona
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limeanza kuchunguza picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikimuonyesha askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani akimshambulia dereva wa lori. Polisi imesema uchunguzi huo unafanyika kwa kuzingatia misingi ya sheria ili kubaini mazingira na ukweli wa tukio hilo.

Jeshi hilo pia limewataka wananchi kuzingatia sheria na kujiepusha na vitendo vya uhalifu, likisisitiza kuwa litawachukulia hatua wahusika wa matukio ya kihalifu kwa mujibu wa sheria. Aidha, Polisi imesema itaendelea kushirikiana na wananchi pamoja na vyombo vingine vilivyo kwenye mnyororo wa haki jinai katika kuhakikisha usalama na utawala wa sheria.
View attachment 3684328
Yaani hapo tayari tushaambiwa kwamba Dereva ndio mwenye makosa.....
 
Policcm
 
Hizi ni dalili mbaya sana....
Wananchi wamechoka kuonewa nikama wapo radhi kwa lolote.
Lakini pia naona nchi ilipo fikia nikama hatuheshimiani tena....
 
Back
Top Bottom