Polisi Tunduru wazuia mkutano wa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutokana na kuwepo matishio ya ugaidi

Mimi sio CCM, na siipendi CCM, na siwapendelei police, Ila mimi ni mtu WA kusini ukweli ni kwamba Kuna skendo jamaa wameingia HIYO sio siri hata mikusanyiko ya sherehe siku izi kwa kusini haifanyiki wanazuia. Ni kusi iyote Lindi mtwara, masasi, nachingwea nk
Bora umesema mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jeshi la Polisi Tunduru limetoa tahadhali kwa watanzania waishio huko kua huenda kukawa na shambulio la KIGAIDI hivyo wachukue tahadhali

F98333B3-669C-40B3-9D60-E6DA20297247.jpeg
 
Mimi sio CCM, na siipendi CCM, na siwapendelei police, Ila mimi ni mtu WA kusini ukweli ni kwamba Kuna skendo jamaa wameingia HIYO sio siri hata mikusanyiko ya sherehe siku izi kwa kusini haifanyiki wanazuia. Ni kusi iyote Lindi mtwara, masasi, nachingwea nk
Acha utaahira basi
 
Back
Top Bottom