Mimi sio CCM, na siipendi CCM, na siwapendelei police, Ila mimi ni mtu WA kusini ukweli ni kwamba Kuna skendo jamaa wameingia HIYO sio siri hata mikusanyiko ya sherehe siku izi kwa kusini haifanyiki wanazuia. Ni kusi iyote Lindi mtwara, masasi, nachingwea nk