Polisi :umeenda kwenye sherehe , ukalewa piga simu Polisi tutakuja kukusaidia kuendesha

Polisi :umeenda kwenye sherehe , ukalewa piga simu Polisi tutakuja kukusaidia kuendesha

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Lakini sisi kama jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani tunashauri, endapo labda kuna semu mmeenda, either kwenye sherehe au maeneo yoyote yale ya starehe, umekunywa pombe, asiwieme wewe ambaye unaonekana ni dereva unayeendesha chombo kile au unatarajia kuongoza chombo kile. kawa umetumia ulevi wa pombe au madawa ya kulevya.

Na badala yake omba msaada, ee unaweza kuomba msaada kwa kupigia simu dereva mwingine apatikane." Afande Samora Afisa wa usalama barabarani Mkoa Wa Kilimanjaro

Chanzo : Banana fm

 
Wana huduma kama hii? au ni kuleta siasa kazini. Nipige simu polisi kuomba dereva leo akanichukue nikilewa? Wana madereva wa kazi hizo najiuliza tu
 
Back
Top Bottom