PreGE2025 Polisi, Usalama na Jeshi kumbukeni mna wanazengo au tuweke hashtag tuwatenge kwa lolote?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Idara hizi tunaishi nazo mtaani na zinashiriki wanazengo kama wanataka kujiona kazi zao ni ndugu zao tuweke ajenda kuwa hata ukipata tatizo tukuangalie tu.

Nchi hii mnapoipeleka kuna siku hawa watu watakuwa kwa waarabu au wazungu wakituacha tukitoana tofauti za challenge za kiredio au ivan kuhusu mapenzi konyo mnavyo ipenda CCM.
 
Wanaogelea minoti hawawezi kukuelewa

They are swimming in money already, will not listen to you
 
Hahaha.
Haiwez tokea tukawatenga nahisi.
 
Back
Top Bottom