Low Key
Member
- Feb 1, 2021
- 23
- 12
Je, kwa mfano unakunywa pombe kwa nchi inayotegemea mapato yake kwenye pombe ni nchi au nini? Yaani zinatoka takwimu kuwa sijui TBL wameongoza kwa sijui nini. Leo mnawakakamata watu wanaokunywa pombe na hawajavunja sheria yeyote!
Je, mko sawa kweli nyie jeshi la polisi? Hivi mtu alielewa ni wa kumpiga makofi kweli kwa usawa ule? Mnajali haki kweli au mnazingatia maslahi yenu?
Haya sawa sheria ni kuwa inabidi unywe sijui saa ngapi, mbona siku nyingine hampiti au leo mmepatwa na nini nyie?
Sheria ipitiwe tena!
Mwanza## Nyegezi