Polisi utu au vipi?

Polisi utu au vipi?

Low Key

Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
23
Reaction score
12
Je, kwa mfano unakunywa pombe kwa nchi inayotegemea mapato yake kwenye pombe ni nchi au nini? Yaani zinatoka takwimu kuwa sijui TBL wameongoza kwa sijui nini. Leo mnawakakamata watu wanaokunywa pombe na hawajavunja sheria yeyote!

Je, mko sawa kweli nyie jeshi la polisi? Hivi mtu alielewa ni wa kumpiga makofi kweli kwa usawa ule? Mnajali haki kweli au mnazingatia maslahi yenu?

Haya sawa sheria ni kuwa inabidi unywe sijui saa ngapi, mbona siku nyingine hampiti au leo mmepatwa na ni
ni nyie?

Sheria ipitiwe tena!

Mwanza## Nyegezi
 
Afu Kuna mtu anampiga mtu Kama mbwa yani Unampiga mtu makofi.. wewe ungepigwa vile ungejisikiaje .. una akili timamu au ni mgonjwa
 
Kama serikali imeshindwa Basi haki za kibindamu ziimgilie.
Haowezekani mtu apigwe vile bhna kisa wewe ni polisi
 
Watoto wa mabos wakitukana mnaanzsha uzi kuwa tetea hao piga tu.....ila mi sijudge nasubir siku kuona majudge wakija kujajiwa na god
 
Hao n watu hovyo Sana kila siku nasema
Sekta yoyote ya police ilaaaaniwe
 
Back
Top Bottom