Mkaa Mweupe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 654
- 183
Kwahiyo ungependa Polisi wauwawe na majambazi sio?Katika siku za karibuni kumekuwa na habari mbalimbali zikiripotiwa kuwa Polisi wamefanikiwa kuyaua Majambazi kadhaa katika matukio ambayo yalisababisha kurushiana risasi.
Jambo linalonishangaza ni kuwa,
"Je, kunakuwa na ni nani hasa anatakiwa kuthibitisha maelezo yanayotolewa na Polisi?"
"Hivi inakuwaje ni Majambazi tu ndio wanauwawa na sio Polisi katika matukio ya kurushiana risasi?"
Nawasilisha.
Kwahiyo ungependa Polisi wauwawe na majambazi sio?
Nadhani mshkaji swali lake ni la kimsingi. Ni kwamba in most cases(mara nyingi) unakuta polisi ndo majambazi wenyewe....kwa mfano muulize Zombe na wafanyabiashara wake wa madini alivyowauwa na kuwapora na akashinda kesi kisanii na kifisadi.
Kinachotokea ni kuwa wakishakosa kuleta 10% mara baada ya kupiga issue, au ikitokea wamepiga kwa kigogo kimakosa, au polisi wamelaumiwa sana na vyombo vya habari, hapo ndipo baadhi yao hutolewa muhanga.
Kwa hiyo wanapoandaa kupiga kwa kuwa ni timu ileile, wanazungukana kimtindo, sasa wale wasiokuwa na upolisi halali ndo huwa matatani kwa hiyo wanapigwa shaba kwa mfano wakiwa ndo wanajiandaa pengine Buguruni, unakuta kama watano hivi wanauawa, halafu maiti zinapelekwa Amana Ilala ili kuzuga kuwa wanahitaji matibabu kwa watuhumiwa wa ujambazi ambao wako mahututi. Inakuwa confirmed kuwa wamekufa.
Taarifa ya habari sasa......Watuhumiwa wa Ujambazi watano wameuawa na polisi baada ya kurushiana risasi na polisi huko eneo la kimara baruti. Kamanda wa Polisi kanda maalumu amethibitisha tukio hilo..............
Lakini yako matukio mengine huwa hayatengenezwi na katika haya pande zote mbili huwa zinapata madhara. Majambazi, wengi wao wana mafunzo ya kijeshi kwa hiyo si rahisi watano wakauawa bila madhara hata kidogo kwa askari watatu waliopambana nao...ebo!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Duh! Mbona naona maruweruwe. Naomba urudie hii kwa Lugha rahisi.
Katika siku za karibuni kumekuwa na habari mbalimbali zikiripotiwa kuwa Polisi wamefanikiwa kuyaua Majambazi kadhaa katika matukio ambayo yalisababisha kurushiana risasi.
Jambo linalonishangaza ni kuwa,
"Je, kunakuwa na ni nani hasa anatakiwa kuthibitisha maelezo yanayotolewa na Polisi?"
"Hivi inakuwaje ni Majambazi tu ndio wanauwawa na sio Polisi katika matukio ya kurushiana risasi?"
Nawasilisha.
Hili suala hata mimi linanipa wasiwasi,majambazi wanafanya vibaya kuua watu,lakini polisi wasijisifie kuyaua majambazi kwani wanahalalisha sheria mkononi. Kama kuna uwezekano wa kuyakamata yakamatwe.
polisi hawana haki ya kuua mtu wanayendhania ni majambazi , naomba tuelewe hili. Polisi wana uhakika gani 100% kuwa wanaowauwa ni majambazi? Kuuwa iwe ni in very exceptional cases isiwe ni kawaida na kama inatokea polisi inbidi wasikitikie kitendo hicho na sio kushangilia jamani.
Na kama watauwa basi wajisubmit wenyewe kwenye inquest ili ionekane kuwa polisi walikuwa justified kufanya hivyo na sio vinginevyo.
This question is not easy as other people think.
No one is safe! I repeat kama hamjui polisi wanatakiwa kufanya nini msishabikie haya mambo. better know what polisi are supposed to be
unaweza kuzushiwa mwizi any time, unaweza ukapaki gari mtu akatilia mashaka na kuita polisi. hivi mnawajua polisi wanavyofanya kazi
I hate majambazi, lakini kuna sababu ya polisi kuji-equip their solution iswe kuua tu. some of them are innocent!
majamabazi wanaweza kumteka tax driver wakavamia sehemu polisi wanavyokuja tax driver naye anauawa!
wanachojitetea wao ni kuwa zana hafifu za kazi!
naona kuna majibu mapesi hapa kwa swali gumu
nyie wote mnaowalaumu polisi kwa kuua majambazi mimi nashindwa kuwaelewa kabisa,au nyie mnaona raha mijambazi inavyoua watu kikatili bila hata huruma ukerewe yamefanyika mauaji ya kutisha na kila siku raia wema wasio na hatia wanauawa na mijambazi nyie mnaona raha,nahisi hamjawahi kukutana na ukatili wa majambazi na iko siku mungu atawapambanisha na majambazi ndio mtajua kama muwatetee au vinginevyo,hawa washenzi ni wakatili sana hongera saaaaaaaana jeshi la polisi mkilipata jambazi na mkadhibitisha kama ni jambazi hata kama mmelikamata likiwa hai pigeni risasi uwa kabisa washenzi hawa wasio na hata chembe ya ubinadamu,ila polisi wawe makini wasiingize ubinafsi na chuki katika mapambano haya,bravo jeshi la polis ueni kila jambazi mnalopambana nalo mkithibitisha kama ni jambazi fumua kichwa washenzi hawa wanataka kuifanya nchi hii kama haina serikali.Hili suala hata mimi linanipa wasiwasi,majambazi wanafanya vibaya kuua watu,lakini polisi wasijisifie kuyaua majambazi kwani wanahalalisha sheria mkononi. Kama kuna uwezekano wa kuyakamata yakamatwe.
nyie wote mnaowalaumu polisi kwa kuua majambazi mimi nashindwa kuwaelewa kabisa,au nyie mnaona raha mijambazi inavyoua watu kikatili bila hata huruma ukerewe yamefanyika mauaji ya kutisha na kila siku raia wema wasio na hatia wanauawa na mijambazi nyie mnaona raha,nahisi hamjawahi kukutana na ukatili wa majambazi na iko siku mungu atawapambanisha na majambazi ndio mtajua kama muwatetee au vinginevyo,hawa washenzi ni wakatili sana hongera saaaaaaaana jeshi la polisi mkilipata jambazi na mkadhibitisha kama ni jambazi hata kama mmelikamata likiwa hai pigeni risasi uwa kabisa washenzi hawa wasio na hata chembe ya ubinadamu,ila polisi wawe makini wasiingize ubinafsi na chuki katika mapambano haya,bravo jeshi la polis ueni kila jambazi mnalopambana nalo mkithibitisha kama ni jambazi fumua kichwa washenzi hawa wanataka kuifanya nchi hii kama haina serikali.