LorenzoA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,889
- 17,753
Ni saa 5 na nusu usiku jana natoka kwenye Restaurant moja Masaki na rafiki yangu Muhindi, nampeleka Upanga mini nirudi nyumbani...
Mtaa tuliokiwa ni very busy area na magar yamepaki nje, mbele yangu naona gari ya Polisi.. PT Noah, imenikaribia naona anapunguza mwendo, nikajua nimeblock njia nimpishe wapite, kidogo naona jamaa anagonga koo cha gari yangu...
Na mambo yalikiwa hivi..
Polisi: (Bonge hivi anaacheka cheka): washa taa
Mimi; natasha
Polisi: hiyo nini?(Kuna box mbili za cosmetics nilikuwa unapeleka nyumbani)
Mimi: no mabox ya vipodozi koongozi
Polisi; Fungua..
Mimi: namuonesha.
Polisi : umetoa wapi
Mimi; nimenunua napeleka nyumbani
Polisi: Fungua boot kuna nini
Mimi: nashuka nafungua boot
POLISI; Hizi nini
Mimi: Docs za biashara zangu
Polisi😀ocuments gani(anaona kabisa zimeandkkwa delivery notes) anasoma alaf nakuliza tena
Mimi: namulezea ni doc mtu kununua mzigo nampatia pamoja na invoice na receipt
Polisi; Hapana mnafanya biashara gani na huyu Muhindi hapa usiku saiz.
Mimi; namuambia ni rafiki yangu mimi namuaga nasafiri kwenda nyumbani sikukuu..
Polisi; Hapana, lazima tuwachukue wote kwa investigation zaidi..
Mimi; namuonesha IDs na DL ..
Polisi; Hapana huku kuna hizi sana anamuuliza muhindi hiyo nini.
Muhindi; hii ni wallet yangu na hii ni sim yangu..
Polisi ; unafanya kaz wapi na kwanini upo hapa
Muhindi : anamuelezea polisi anamionesha na Work permits
Polisi; hapana, nyie kuna kitu sio bure .. sasha gari twende kituoni kwa uchunguzi zaidi
Mimi ; sawa, polisi anamwambia muhindi akae nyuma yeye mbele.. nasema sawa kiongozi
Polisi punguza mwendo, tumsubiri Ofisa..
Mimi; Kituoni ni wapi?
Polisi ; Salenda Bridge
Mimi ; sawa.
Umefika kituoni polisi anasema hana huruma na watu kama sisi, namuuliza kwanini anasema kwanini unawasha taa usiku ukiwa umepak gari nimemuudhi sana..
Polisi pamoja na yule afisa anashuka wanataka tena iDs zangu nawapa..
Polisi unaniambia nendeni mkaongee na sisi tunaongea, nikasema sawa..
Polisi naniambia wewe unajua garage wewe, sisi tukikupeleka garage utajua na utaleeza mnafanya biashara gani, namwambia sawa..
Anajidai kukagua gari.. muhindi ananiambia nimalizane nao
Nafungua wallet natoa hela kidogo namwmabia jamaa naomba nikalale
Polisi; anacheeka anamuonesha Afisa hela
Anaturuhusu anatuongozea na magari, tayar ni saa saba hivi...
Nikamuuliza Mhindi why do you think this is so?
Alinijibu ; you can't be logical with these people, just give them money and stay away...
Kiukweli ule ni uharamia kwa kutumia mali za umma...
Naangaliaga wanavozunguka baa wanaokoteza konyagi na elf kumi kumi jana yamenikuta... so pathetic.. nano anabariki mambo haya?