Polisi wa Dubai jinsi walivyotumia (Operation fox hunt 2) kumnasa tapeli nguli Mnaijeria billionaire wa Instagram mwenye ukwasi wa kusisimua

Shikamoo tapeli hush, wewe ni kiboko umewaliza wengi, I think matapeli ni watu smart, sema u smart wao wanautumia in negative way.
Huyu angekuwa mchaga asingekamatwa, mchaga akiwa anajua njia zake sio salama huwa hajionyeshi[emoji38]
 
Huyu angekuwa mchaga asingekamatwa, mchaga akiwa anajua njia zake sio salama huwa hajionyeshi[emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 


Tatizo lako kiswahili kinakupiga chenga, kwa mfano umeandika

1. uharifu ------ kiswahili hakuna neno hilo , ni uhalifu kwa kiswahili

2. kuwaraghai hakuna neno hilo kuna kuwalaghai

3. pesa tasrimu hakuna neno hilo , kuna pesa taslimu


Jitahidi kuandika maneno sawa ya kiswahili bila kubadili- l - kwenye - r -.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…