FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mzungu akitapeli anakuwa shujaa, mwafrika anafanywa kituko kama hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu salute, umeandika vizuri kweli, naona umeona kuna viashiria fulani umeamua ufunguke, nimesita kumuita jina ulilomuita ila viashiria vyote niliviona kuna watu hamna vifua vya kutunza maneno..Kumbe nilikuwa natumia maneno laini sana
Haaaaaahaaaaa mwanangu we tapeli nishakushtukia mbona unachanganya mada? Mambo ya ada sijui kula watoto kuvaa hayo yapo tu na tunapambana kuyaweka sawa kwani huu muda tunapojadili hii ishu unaathiri nn kwenye utafutaji? Kuna watu tupo makazini mda huu unachungulia jf kdg unaendelea na mishe ishu kubwa hapa tapeli kakamatwa sio tajiri kaanguka tumefurahi tapeli kukamatwa siwezi furahia mtu na utajiri wake wa halali bahati mbaya kaanguka hiyo roho ya kichawi sijawahi kuwa nayo kama nawe ndio walewale ipo siku tutafurahia pia anguko lako naona umeguswa sana!
Mko kama wadada vile wewe na wenzio dah nawapa pole sana hakika mtaendelea kua masikini maisha yenu yote kwa tabia hii ya kufurahia wenye pesa wakianguka. nawapa pole.Na wewe baada ya kusoma thread hii a/c yako imeongezeka sh. Ngapi?
Unadhani atafanyaje zaidi ya kukopi na ku paste habari za wanaume wenzie wenye pesaToa credit kwa skytanzania aisee hili bandiko ume copy.
Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
Poleni sana kwa kuingia mwezini huku ukiwa huna pedi billionea uchwaraMko kama wadada vile wewe na wenzio dah nawapa pole sana hakika mtaendelea kua masikini maisha yenu yote kwa tabia hii ya kufurahia wenye pesa wakianguka. nawapa pole.
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Binafsi i respect this guy so much, nimempigia saluti, ni mwanaume anatafuta pesa, get rich or die trying, sio kama wavulana wengine hapa plus mtoa mada wamekalisha matako yao hawana hata sumni wanamsuta mwanaume mwenzao aliyekua anatafuta pesaThe only mistake this guy did was trying to scam Uncle Sum (the U.S government). They will eventually get you in the end.
The guy even managed to hack into U.S system and re-route President Trump's stimulus package into his account.
endeleeni kupiga umbeya mashosti si mna mudaPoleni sana kwa kuingia mwezini huku ukiwa huna pedi billionea uchwara
Mashoga ndio kabisa hata kuwajibu ni mikosi.endeleeni kupiga umbeya mashosti si mna muda
Washangae hawa mafukara.Billgate anavyozitapeli nchi za kiafrika ni sawa
Mnaija kuwavesha watu kawa shetani, na waswahili tunashangilia.
Ah..ndg yng nimeona unazunguka zunguka saaaaaaana!🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu salute, umeandika vizuri kweli, naona umeona kuna viashiria fulani umeamua ufunguke, nimesita kumuita jina ulilomuita ila viashiria vyote niliviona kuna watu hamna vifua vya kutunza maneno..Kumbe nilikuwa natumia maneno laini sana
... msitukumbushe ya "inspirational speaker" Shamimu Mwasha!Wenye clean money huwa hawana ushamba wake wako kimya with no show off.
Itakuchukua muda kuelewa tunachoongelea na wewe unachokisema, niombe tu niishie hapo maana unaelekea kunivunjia heshima.Mko kama wadada vile wewe na wenzio dah nawapa pole sana hakika mtaendelea kua masikini maisha yenu yote kwa tabia hii ya kufurahia wenye pesa wakianguka. nawapa pole.
Hivi alishatoka jela maana watu hao hela zao chafu huko ig unaweza waza Mimi nakwama wapi sipati hela, kumbe Wana njia haramu za kupata fedha. Na huyo shamimu mpaka aje kutoka si atakuwa mzee, mumewe kamponza... msitukumbushe ya "inspirational speaker" Shamimu Mwasha!
Bongo kama kuna mtu ana huu unyama mnipe link niwe naye aisee leo nimejaribu nimefail kudukua billion 7.8 za Laizer
Tumeletewa Ukimwi na ARV's hakuna anayehojiWashangae hawa mafukara.
Kwa fikra hizi umasikini hautakomaTumeletewa Ukimwi na ARV's hakuna anayehoji
Tumeletewa Kansa hakuna anayehoji
Tumeletewa Kisukari na Presha, hakuna anaehoji
Umasikini wa fikra huu! Hebu waambie hao mambumbumbu wanitajie Tajiri mmoja tu mwenye Utajiri ulio wa halali