Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,487
- 1,661
- Thread starter
- #61
Sijasema unakosa raha nimeuliza kama una masirahi binafsi na hili suala.Nikose raha kwa ajili ya wapuuzi, bali nashangaa wapuuzi wanaofurahia kuanguka kwa bilionea, an ordinary citizen, bili ya maji inamsubiri, umeme, kodi ya nyumba, ada za watoto,,chakula nyumbani mke na watoto wavae, waende hospital wakiumwa, huo muda wa kushangilia bilionea ameanguka unaupata wapi na unafaidika nini
Huyo hakuwa billionea alikuwa tapelionea
Ilhali mtu hajawahi kuomba msaada hapa kuhusu hayo uliyoyasema anajua mwenyewe anavyotenga muda wa utafutaji na wakufanya mambo mengine.
Tofauti na hapo hata yeye atakushangaa unapate muda wa kusoma comments zake akifurahia anguko la tapeli wakati unayomajumu mengine ya utafutaji.. au unaishi nyumbani kwenu( jokes)