Polisi wa Dubai jinsi walivyotumia (Operation fox hunt 2) kumnasa tapeli nguli Mnaijeria billionaire wa Instagram mwenye ukwasi wa kusisimua

Polisi wa Dubai jinsi walivyotumia (Operation fox hunt 2) kumnasa tapeli nguli Mnaijeria billionaire wa Instagram mwenye ukwasi wa kusisimua

Nikose raha kwa ajili ya wapuuzi, bali nashangaa wapuuzi wanaofurahia kuanguka kwa bilionea, an ordinary citizen, bili ya maji inamsubiri, umeme, kodi ya nyumba, ada za watoto,,chakula nyumbani mke na watoto wavae, waende hospital wakiumwa, huo muda wa kushangilia bilionea ameanguka unaupata wapi na unafaidika nini
Sijasema unakosa raha nimeuliza kama una masirahi binafsi na hili suala.

Huyo hakuwa billionea alikuwa tapelionea

Ilhali mtu hajawahi kuomba msaada hapa kuhusu hayo uliyoyasema anajua mwenyewe anavyotenga muda wa utafutaji na wakufanya mambo mengine.

Tofauti na hapo hata yeye atakushangaa unapate muda wa kusoma comments zake akifurahia anguko la tapeli wakati unayomajumu mengine ya utafutaji.. au unaishi nyumbani kwenu( jokes)
 
Nikose raha kwa ajili ya wapuuzi, bali nashangaa wapuuzi wanaofurahia kuanguka kwa bilionea, an ordinary citizen, bili ya maji inamsubiri, umeme, kodi ya nyumba, ada za watoto,,chakula nyumbani mke na watoto wavae, waende hospital wakiumwa, huo muda wa kushangilia bilionea ameanguka unaupata wapi na unafaidika nini
Haaaaaahaaaaa mwanangu we tapeli nishakushtukia mbona unachanganya mada? Mambo ya ada sijui kula watoto kuvaa hayo yapo tu na tunapambana kuyaweka sawa kwani huu muda tunapojadili hii ishu unaathiri nn kwenye utafutaji? Kuna watu tupo makazini mda huu unachungulia jf kdg unaendelea na mishe ishu kubwa hapa tapeli kakamatwa sio tajiri kaanguka tumefurahi tapeli kukamatwa siwezi furahia mtu na utajiri wake wa halali bahati mbaya kaanguka hiyo roho ya kichawi sijawahi kuwa nayo kama nawe ndio walewale ipo siku tutafurahia pia anguko lako naona umeguswa sana!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu salute, umeandika vizuri kweli, naona umeona kuna viashiria fulani umeamua ufunguke, nimesita kumuita jina ulilomuita ila viashiria vyote niliviona kuna watu hamna vifua vya kutunza maneno..Kumbe nilikuwa natumia maneno laini sana
 
Uko vizuri sana kuelezea utajiri, rise and fall ya tajiri, je jiuize wewe unafaidika nini kuelezea rise and fall of billionaire, akaunti yako imeongezeka pesa?
Na wewe baada ya kusoma thread hii a/c yako imeongezeka sh. Ngapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sometimes i wonder most of the tanzanians are poor and foolish people, you are jumping up and down with joy because of someone's downfall, whereas your life is full of downfall and setbacks, i usually ask myself a poor person, an ordinary tanzanian citizen, get extremely happy because of a rich man's downfall....its amazing
Sasa unataka tuhuzunike alivyokamatwa? Wakati anakula raha kwa kuumiza wenzake karibia watu milioni mbili amewatapeli wewe ulikuwa unaona sawa? Mwache avune alichopanda ,ikiwezekana apigwe life sentence tu na mali zake wauze na zikasaidie jamii.
 
Ndio akili za mweusi zilipogota kitu cha kwanza huwa tunawaza utajiri wa haraka na kununua magari ya kifahari.

Wamshoot pamoja na wenzie, watu wamepigana life kuitafuta pesa wewe unawaibia pumbafu kabisa.
 
Sasa unataka tuhuzunike alivyokamatwa? Wakati anakula raha kwa kuumiza wenzake karibia watu milioni mbili amewatapeli wewe ulikuwa unaona sawa? Mwache avune alichopanda ,ikiwezekana apigwe life sentence tu na mali zake wauze na zikasaidie jamii.

Mshkaji kaifuta comment yake, tatizo wanakurupuka kukomenti bila kufikiri.
 
The only mistake this guy did was trying to scam Uncle Sum (the U.S government). They will eventually get you in the end.

The guy even managed to hack into U.S system and re-route President Trump's stimulus package into his account.
Basii hapa ndo nimelewa vizuriii.
 
Mtu smart asingefanya ujinga huo wa kujionesha
Yule ni mshamba licha ya kujua kuwadukua watu fedha

Ova
U smart wao upo kwenye kuingilia system mbalimbali na kutapeli, ujinga wao ni hzo show off za Mambo yasiyo na tija imagine vijana walikuwa Wana mtamani kumbe ni tapeli
 
The only mistake this guy did was trying to scam Uncle Sum (the U.S government). They will eventually get you in the end.

The guy even managed to hack into U.S system and re-route President Trump's stimulus package into his account.
Dah walikuwa hatari Hawa watu
 
Ana stahili kukamatwa
Jamaa mshamba sna alikuwa anajifanya floyd myweather... Mwenzake source of income inajulikana

Ova
alishindwa fanya ata uwekezaji ili awe anafanya money laundering
 
Miaka kama 6 hawa jamaa walikuja Tz. Walikuwa waforge cheques, wanatumia fronters ambao ni local anonymous. Hanahack simu ya mteja anayeibiwa.
 
Back
Top Bottom