Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Polisi nchini Ecuador wamekamata zaidi ya kilo 450 za Cocaine kutoka kwenye lori karibu na mpaka wa Colombia. Vifurushi hivyo vilidaiwa kuwa na stika zenye picha ya mwanasoka wa Norway, Erling Haaland.
Mamlaka hazijatoa hata kidogo taarifa inayodai Haaland alihusika kwa namna yoyote. Kwa mujibu wa Associated Press, wafanyabiashara wa dawa za kulevya wakati mwingine hutumia picha za watu maarufu kuweka alama kwenye mizigo yao, kutambua mitandao ya uhalifu au walengwa wa mzigo huo.
Polisi walisema mamia ya vifurushi viligunduliwa vikiwa vimefichwa kwenye sehemu maalumu iliyotengenezwa ndani ya lori. Thamani ya mzigo huo inakadiriwa kuwa zaidi ya dola milioni 19 za Marekani katika soko la Ulaya.
========
Ecuadorian police said Wednesday officers seized a shipment of packages containing 369 kilograms (793.664 pounds) of cocaine near the Colombian border. Footage released by police showed the packages bearing the image of Norwegian soccer star Erling Haaland but officers made no mention of the reason for the labeling.
Footage distributed by the Ecuador National Police showed the bricks prominently featuring the Manchester City striker wearing his Norwegian national team jersey, alongside images of a soccer ball and the World Cup trophy.
While authorities did not specify a unique reason for utilizing Haaland's likeness, officials noted that international drug trafficking syndicates routinely print images of celebrities, athletes, and high-end brand logos on bricks. These distinct visuals serve as internal branding to identify specific smuggling networks, indicate the quality of the batch, or designate the intended destination clients.